Do u think Ouattara is for Ivorians? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do u think Ouattara is for Ivorians?

Discussion in 'International Forum' started by Hero, Apr 23, 2011.

 1. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 783
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  It seems Ouattara is not fighting to be in power for Ivorian's interest BUT for Western countries's! Is there any substance in this?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe sio lazima uandike kiingereza hata ukiandika kikwere tutakuelewa tu ..sasa hiyo heading ndo nini ulitaka kuandika
   
 3. Akwaba

  Akwaba Senior Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, who put him in power, France. So, who is he responsible to. First France, and then the 45-55% of Ivorian's that voted for him. On a side note he used to work for the IMF so he knows the game and probably plays it to the contentment of the westerners.
   
 4. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hahahahahaaa!!!!!!!!!!!! how can I spend my country resources to defend you without reaping anything from you? Why peoples from this countries do not make noice whilst watching their resources being used? of course they know it is good investment for their country. Please give me a break!!!!! International politics always is for the interest of west, and Africa is their back yard, so longers you support them on what they want, most definetely will put in power to protect their interest, and nothing else. Ask your self, why not in Somalia? for how long these people have been suffering from conflicts and no body dared to protect them? You know why, there is nothing in return, why should they bother to go there?
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Works for France...his first priority will be to work on France interests in its colony and maybe he will consider some part of Ivorians who supported him....useless!
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  From wikipedia:
  I really doubt if this Dude is there to save the interests of Ivorians.

  Time will tell anyway.........
   
 7. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo ndo lipo hapo, yule ni kibaraka tu wa nchi za magharibi. Angekuwa ni kwa ajili ya raia wa ivorycoast asingekubali wananchi wafe ili aingie madarakani, kwani wangapi wanadhulumiwa kura ktk afrika, mbona wengi tu lakini hawaanzishi vita? sembuse yeye?
   
 8. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Karibuni marais wote wa Afrika ni vibaraka!
   
 9. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ukweli! Mf Dr Slaa amedhulumiwa waziwazi lakini ameweka utaifa mbele. Huyu jamaa alichotaka ni madaraka tu na ulaji pasipo kujali roho ngapi zitaumia na kupotea!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Toa hoja yako ya pingamizi ili tuijadiri, otherwise=CRAP.
   
 11. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 783
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Samahani Kigogo, kwa kuwa tupo kwenye international forum nilitaka kujumuisha wengi zaidi, kumbe nilisahau kuwa kiswahili ndio lugha kubwa kabisa ya kiafrica.
  Tukirudi kwenye maada
  Kuna jamaa yangu ambaye yeye alifuatwa na jamaa wa balozi za magharibi akaambiwa atapelekwa kwenye mafunzo nnchini kwao ili baadaye aje kuwa rais wa nchi yake, ila tu atatakiwa kuwapa kipaombele wao....jamaa akakataa, wakamfuaata mwingine akakubali na sasa yupo huko kwa ajili ya kuja kuchukua nchi mojawapo ya magharibi. kama wachangiaji mahili walivyosema hapo juu, watala hayupo kwa ajili ya raia wake, mpuuzi huyo, ni kama zezeta kwa nnchi za magharibi. Wamelipa mke mzungu lilipokuwa huko ili huyo mzungu aliendeshe kwa maslahi ya ufaransa. Eti unakuwa na rais aliyewazarau wanawake wote wa nnchini mwake na kuleta ikulu mamruki! Sijui kwa nini waafrica hatujifunzi! Hivi tumerogwa na nani? Kama tumerogwa basi aliyeturoga ameshakufa maana angekuwa hai angetuhurumia!
  Inasemekana tangu Gbagbo achukue nchi hiyo, alijitahidi kuwazibia mirija yao yote ndio maana wamekuja kwa nguvu zote ili kuhakikisha anaondoka madarakani!
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Ouattara alikuwa PM wa Felix Houphoet Boigny, go figure.

  Not that Gbagbo was any better...
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.

  [​IMG]

  Ouatara na mkewe Dominique.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sio issue........
   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,375
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuna kitu kimejificha hapo nyuma, ni mapenzi tu
   
 16. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  love em
   
 17. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Stop Racism!!!!!!!!!!
   
 18. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Interracial=Multiculturalism=Globalization! Hola!!!!
   
 19. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hata Quatara hana asili ya Ivory Coast kama sikosei ni Gambia alipoonekana tishio kuna sheria ilitungwa kumuondolea sifa za kugombea urais zilizohusishwa na uzawa na asili ya mgombea baada ya hapo Gbagbo akabadili sheria hiyo iliyomrejeshea Quatara sifa ya kugombea.
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  INTERRACIAL!!!!! Hiyo imenifrahisha, acha jamaa naye afurahie,
  Lakini kama kuna kitu hapo nyuma vile cjui!, Naanza kuwasaidia Ivort Coast kumkumbuka Gbagbo kabla hata hajapanda kizimbani, tatizo nchi zetu za Afrika hatuaminiki, unaweza ukamuamini mtu vizuri sana lakini ikukuta kuna mtu mbovu sana yuko hapo nyuma anam-remote.
  Huwezijua mzee wa watu Gbagbo aliona nini mbele jamani,
  tusubiri maana hata hajaanza kuikarabati ikulu ilivyobomolewa.
   
Loading...