do u see what i see?

I can see something like gOOgle
 
Ama kweli dunia haiishi vituko,Sasa nachokiona mimi na wewe C6 umekiona hivyohivyo au macho yangu yananidanganya...
 
Last edited by a moderator:
Kama anakata gogo vile!!! Haa ha ha.
 
jamani, hawa watoto wa kiume tuwalelee wapi?
 
Hata kama huyo kwenye picha anayetangaza masaburi yake ni shoga, ni ujinga kumtangazia biashara yake haramu. Afanyaye au kutangaza biashara haramu wote ni sawa.
 
Wote wameoza na kupungukiwa utukufu wa MUNGU.
 
mwenye binoculars naomba aniazime sioni vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…