Abdull Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 209
- 162
Ndio si ana macho.Sina uhakika pia kuhusu hilo ila em jibu hili kwanza unadhani samaki wanaona maji??
kwani samaki anapumua maji mpaka ulinganishe hewa na maji?Duh! Na binadamu naye anaiona hewa? Najua swali lako limetokea huku! Acha nisubiri kidogo nitarudi
Eeeh rabda akiwa ndani ya Maji anajiona tu kama kipepeo ww unaonaje?Unahisi macho ya samaki hayaruhusu kuona Maji ??
Tatizo wana pita kimya kimya hawachangii????Swali la msingi sana
Sharks, similar to cats, have a mirror-like layer in the back of the eye referred to as the tapetum lucidum. This layer further increases the intensity of incoming light, enhancing the eye's sensitivity to light. Although it was once thought that sharks had very poor vision, we now know that sharks have sharp vision. Research has shown that sharks may be more than 10x as sensitive to light as humans. Scientists also believe that sharks may be far-sighted, able to see better at distance rather than close-up, due to the structure of the eye. Kama wangekua wanaona maji wasingeweza kua na uwezo wa kuona mbalinenda sehemu yenye samaki alafu mtoe mmoja kwenye maji, mueke pembeni karibu na maji,
hapo ndio utajua kama samaki anaona maji au haoni!!
Nadhani hilo ni jibu tosha!!!!
Kwaiyo samaki wanajiona kama vipepeo tu??Samaki wenye macho huwa wanaona ila maji hayawaoni
Kwaiyo samaki mfano kaka papa anajihisi tu sawa na mwewe kwenye hewa?Kama ww unaona hewa napia samaki anaona maji.
I wish nipate ufafanuzi zaidi mkuuMi ninachojua samaki ndiye kiumbe mwenye kiu kuliko viumbe ote