Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 778
- 1,721
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.. Nimekuwa nikisikia kuna viumbe wafananao na binadamu.Hawa viumbe inasemekana wanaishi sayari nyingine tofauti na sayari yetu ya dunia.. Inasemekana hawa viumbe hawaishi kwenye sayari yetu ya dunia
Inasemekana viumbe hawa wana I Q ya hali ya juu sana
Inasemekana wanateknolojia ya hali ya juu sana kuliko sisi binadamu wa dunia hii... Kumekuwepo na theories mbalimbali kuwahusu alliens..
Inasemekana pia kuna alliens waliowahi kutua hapa bongo... Any way elimu haina mwisho japo nina ka masters ka philosophy lakini kuhusu elimu ya hawa viumbe nipo mweupe kabisa.. Wajuzi karibuni kwa lectures