Jamani kasimu kangu ni aina ya SAMSUNG GT-C3212. Huwa baada ya muda fulani kuna ujumbe unaotokea unaosema DNS unavailable, then nabonyeza ok, message inaondoka, lakini baada ya muda fulani inatokea tena. Naomba msaada wenu hii ndio nini? Kwa kweli inanikera, nifanyeje ili isitokee tena?