HABARI
Naomba isaidiwe familia hii njia nyepesi ya kufanya DNA TEST maana walipokwenda kwa mkemia mkuu wakaambiwa wapeleke barua toka mahakamani au ustawi wa jamii na walipoenda huko wakasema hawatoi barua labda tu kama kungekua na kesi ya kugombania mtoto.Sasa tumesikia kuna watu zaidi ya elfu mbili walishapimwa sijui hao wote walikua na kesi za kugombea watoto?.so tafazali kwa yule anaye jua namna rahisi ya kufanya ili niishauri ile familia waifuate.