DNA TEST

Candyscorpion

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
763
780
Habarini wakuu!!

Ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi humu ndani hvyo tusameheane kwa mapungufu yatakayo jitokeza!!

Napendelea sana kuingia youtube kufatilia mambo mbalimbali,ktk pitapita zngu nikakutana na kipindi flani kinaitwa MAURY show!!

Hiki kpindi kinawahusu wanandoa au wapenzi walionashaka juu ya mtoto au watoto wao,na aamini hizi show ni nyingi tu kwnye vituo mbalimbali vya Tv!!

Lengo la uzi ni hili nilikuwa nataka tujadili kwa pamoja vtu vifuatavyo!

Kwa mtazamo wangu mm nimevutiwa sana na hizi show mana nikiangalia kwa kiasi kikubwa naona inawasaidia wanawake kutokuwa ma single mama!!

So kwa maoni yngu nilikuwa nafikiria kwanini hii kitu isiwepo na afrika hasa tanzania ambako wanaume wamekithiri kwa kukimbia majukumu, nadhani hii ingesaidia sana wanawake walokataliwa kupata ushirikiano kwa hao wakina bashite

Ila ningependa nifahamu faida na hasara zake wa hvyo vpind!!!

Kwa Wanawake wnzangu kma ndo wewe imekutokea jamaa anamashaka na mtoto/watoto wake na wewe una 200% kuwa mtoto/watoto ni wake kila ukimwakikishia na kuapa miungu yte bado anakataa katakata mnachukua uamuz wa kwenda kupima DNA na majb yanarudi kuwa hyo ni damu yke!

Je!utamsamehe??au kwa wanandoa utaomba talaka ameku dhalilisha!

Vivyo hvyo kwa wapenzi ambao hawajaoana ila wamebahatika je!utakuwa ndo mwisho wamapenz mubashara??

Naomba uchangie kutokana na uelewa wko katika kuisoma mada,mi ci mwandishi mzuri hvyo tuvumiliane,utachangia kile kilichokugusa!!

My take;kma ni mimi imenitokea na tukapima DNA majbu yakarudi mtoto ni damu yko!!eeeeh my dear kma ni ndoa andaa talaka tano cio tatu,

pili, kma ni wapenzi mtoto atakutafuta akikua hasa kwa wale wanaokataa kuanzia mimba!!

Hayo ni maamuzi yngu binafsi so wamama tutiririke ikikutokea ww unafanyaje??

wenye mapovu ynu mnakaribishwa kiroho safi na wale wa jokes kila mahali karibuni pia!

axnteni!!
 
Kwasababu umeruhusu jokes basi nitachangia.
Kwani hao Muary show wamekuripa shilingi ngap ili kuwafanyia tangazo, ila hongera kwa kupata dili kama hilo. MAURY Show na MWAI THAI hao wana u ndugu..........
"Nitarudi baada ya dk 5"
-Paul Walker RIP
yaani naomba Mungu ifike na hku jmn lbda itawapunguzia kashfa single mama,mana vidume vinaumbuka kule!!
 
Inafaa kwenye jukwaa la mahusiano candy.
Ok nirudi kwenye mada. Kwa bandiko lako nimeelewa usingle mother unasababishwa na baba kutekeleza familia baada ya kugundua watoto sio wao?? Ni kweli?
 
Back
Top Bottom