Dkt Wilbroad Slaa anamjua hadi GENTAMYCINE

Tena KUTUKUKA ndio neno lake pendwaaa
 
Kwa hiyo GENTAMYCINE ndiye member maarufu kuliko wote humu, kwa lipi hasa? Kama ni talented mbona kila member yuko talented naturally? Member wenyewe ndiyo wanayemtukuza na kumuinua, mcheza kwao hutuzwa
 
Popoma yuko very talented kwenye kuchamba na kutukana kuliko member yoyote Jf.
Yaani ni anusuta/chamba kuliko shangingi la kizaramo.
Inasemekana mtaani kwao alishawahi kumsuta/kumchamba mwizi mpaka mwizi wa watu akajifia kwa kihoro pasi na kupigwa na mtu.
Ila mimi binafsi namkubali sana popoma maana yeye ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…