Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,006
- 1,377
Hebu niambie kesi yoyote unayoijua kwamba kwenye appeal adhabu ya subordinate court huwa inaongezwa na appellate court pindi appellant anaposhindwa kwenye hiyo appeal. Just one case please ili nijifunze kutoka kwakoMara kibao tu.
Hata Lulu aliogopa hicho hicho.