Dkt Tulia azungumzia tetesi za kugombea ubunge Mbeya, ‘Ni haki yangu’

M

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Messages
135
Likes
122
Points
60
M

MumbaZ

Senior Member
Joined Jan 28, 2018
135 122 60
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amejibu tetesi zilizosambaa kuwa ana mpango wa kugombea ubunge katika jimbo mojawapo mkoani Mbeya.Akizungumza na Dar24 ofisini kwake katika mahojiano maalum hivi karibuni, Dkt Tulia alisema kuwa yeye kama raia wa Tanzania ana haki yake kikatiba kugombea lakini bado hajaweka wazi eneo atakalogombea nafasi hiyo.

“Ni haki yangu ya kikatiba kugombea, lakini sijasema bado nitagombea wapi. Na nadhani wakati huo nitakapofanya maamuzi watu watayasikia kwa sababu huwa sio siri. Lakini kwa sasa hivi najaribu kufanya hizo kazi za kijamii lakini sio kwa lengo la kugombea hasa,” Dkt. Tulia aliiambia Dar24.

Alifafanua kuwa kama ni kugombea ubunge, ni jimbo moja linalotakiwa lakini kazi za kijamii anazofanya zinahusisha maeneo yote nchini.

Dkt. Tulia aliteuliwa kuwa Mbunge na baadaye kugombea nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge nafasi ambayo alifanikiwa kuipata na anaitumikia hadi leo.
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,591
Likes
21,069
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,591 21,069 280
He he he he
Ila kwa Mbeya anaweza kupita huyu.
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,024
Likes
2,427
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,024 2,427 280
haki na mipaka yake usisahau hilo... hata kama una jua sheria...
 
U

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
747
Likes
515
Points
180
U

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
747 515 180
Kwa jinsi hali ilivyo na matukio yanavyoenda naona kabisa huyu Mama ndiyo atasimamishwa na Sugu itakapofika 2020 na CHADEMA wakizubaa kuna hatari ya goli la mkono. Tuombe Uhai tu ili tuje kuyashuhudia
 
O

OTTER

Senior Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
157
Likes
71
Points
45
O

OTTER

Senior Member
Joined Feb 20, 2016
157 71 45
Kwa jinsi hali ilivyo na matukio yanavyoenda naona kabisa huyu Mama ndiyo atasimamishwa na Sugu itakapofika 2020 na CHADEMA wakizubaa kuna hatari ya goli la mkono. Tuombe Uhai tu ili tuje kuyashuhudia
Huyo msugusugu hana sifa tena ya kugombea. Aliye mshauri kukata rufaa kamdanganya, ajiandae kuongezewa mvua nyingine kwa kushindwa rufaa. Mark my words.
 
U

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
747
Likes
515
Points
180
U

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
747 515 180
Huyo msugusugu hana sifa tena ya kugombea. Aliye mshauri kukata rufaa kamdanganya, ajiandae kuongezewa mvua nyingine kwa kushindwa rufaa. Mark my words.
Kwa serikali hii sintoshangaa mkuu
 
washa

washa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Messages
550
Likes
131
Points
60
washa

washa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2007
550 131 60
Kwani kunampango wa kumfanya kuwa sabwufa kamili?......vipi jamaa yetu wa Hollywood?
 
MATHIAS KABYEMERA

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,799
Likes
447
Points
180
MATHIAS KABYEMERA

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,799 447 180
mbona nasikia anatajwa jimbo moja huko Tukuyu?
 
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
6,402
Likes
3,762
Points
280
C

chabusalu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2016
6,402 3,762 280
Huyo msugusugu hana sifa tena ya kugombea. Aliye mshauri kukata rufaa kamdanganya, ajiandae kuongezewa mvua nyingine kwa kushindwa rufaa. Mark my words.
Kwa hilo lihukumu la kijinga hakuna jaji anayeweza kukubaliana nalo, wala hatuna haja ya "ku mark your words"!
 
L

Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
203
Likes
226
Points
60
L

Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
203 226 60
Huyo msugusugu hana sifa tena ya kugombea. Aliye mshauri kukata rufaa kamdanganya, ajiandae kuongezewa mvua nyingine kwa kushindwa rufaa. Mark my words.
Nyie bush lawyers mnashida sana. Lini uliwahi kusikia mtu anaongezewa adhabu akishindwa rufaa?
 
M

Mlinzi mfu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2018
Messages
448
Likes
416
Points
80
M

Mlinzi mfu

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2018
448 416 80
Kwa jinsi hali ilivyo na matukio yanavyoenda naona kabisa huyu Mama ndiyo atasimamishwa na Sugu itakapofika 2020 na CHADEMA wakizubaa kuna hatari ya goli la mkono. Tuombe Uhai tu ili tuje kuyashuhudia
Siasa....hazina Mchezo msafi
 
A

AGOLA

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,293
Likes
1,665
Points
280
A

AGOLA

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,293 1,665 280
Unamshangaa Jesca wakati baba yake mnauliza PHD yake kilasiku?
PHD feki na ya Jesca pia ni ya kuunga kwa gundi.
 
Forum statistics

Threads 1,213,085
Members 461,948
Posts 28,466,458