Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Huyo Bi Tukinao akihamia upinzani, mtahama naye?Mbeya sisi ni CCM tu
Hakuna lolote la maana zaidi ya kuongezeka kwa maambukizi ya ukimwi tunashukuru mwaka huu tamasha limeanza Jana na mvua inanyesha non stop toka jana.Hivi ngoma zinasaidiaje kukuza uchumi na kupiga vita umaskini jijini Mbeya??