tulia trust

Tulia Ackson (born 23 November 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli. On 27 October 2023, she was elected the President of the Inter-Parliamentary Union (IPU) through the meeting convened at Luanda Angola where she passed other contestants by a great margin.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tulia Traditional Dance Festival 2026 kufanyika Septemba 24-26, Tulia Trust ikiadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake

    Tulia Trust tunatarajia kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwetu kwa kuandaa Tulia Traditional Dance Festival 2026 kwa msımu wa kumi (10), Tamasha kubwa la Ngoma za Asili litafanyika kuanzia tarehe 24 hadi 26 Septemba 2026 kuanzia saa 02:00 asubuhi kwa msimu wa kumi tangu kuanzishwa kwake...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia kumjengea nyumba ya kuishi mzee Mwakalindile kata ya Nsalaga

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson imekabidhi vifaa kwaajili ujenzi wa nyumba ya Philipo Mwakalindile anayeishi kwenye mazingira magumu kata ya Nsalaga. Mwakalindile (54) anaishi mtaa wa...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia aifuta machozi familia iliyopoteza nyumba kwa moto, Igawilo

    Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, leo Disemba 19, 2025, ameifuta machozi ya familia ya Emmanuel Julius Kyanula kutoka kata ya Igawilo, Uyole, ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto. Akizungumza...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson aijengea nyumba familia iliyopatwa na janga la moto Uyole

    Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye Mwalyaje ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto katika kata ya Ilemi. Dkt.Tulia...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Tulia atoa vifaa vya ujenzi wa nyumba ya familia iliyoungua moto kupitia taasisi yake ya Tulia Trust

    Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia. Muwakilishi wa Idara ya Habari na Mawasiliano TULIA TRUST, Addy Kalinjila amezungumza baada ya kukabidhi vifaa vya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Trust yatoa msaada wa masomo kwa walioshindwa kuendelea na elimu baada ya baba yao kufariki

    Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dkt. Tulia Ackson imewasaidia mahitaji watoto wa familia moja walioshindwa kuendelea na masomo kwa kukosa vifaa vya shule...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imefika Kata ya Ilomba na kuwapa msaada wa mavazi wananchi 22 wenye uhitaji. Leo 23 Machi 2025 Tulia...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Dkt. Tulia Ackson afuturisha Waumini 200 wa dini ya Kiislam

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa kiislam. Futari hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Machi 19,2025 kwa Shekhe Mkoa wa Mbeya, Msafiri...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia kwanini asiwasaidie watanzania kimya kimya kama ana nia njema? Picha alizopigwa huyu bibi kumshukuru Tulia zinafikirisha

    Wakuu, Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa? Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na press za kutia tia huruma? Kuna watanzania wengi sana, wana majina makubwa na wanasaidia watu...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika wa Bunge Tulia Ackson na Foundation yake azidi kumwaga misaada kwa wananchi wa Mbeya Mjini

    Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga. Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya...
Back
Top Bottom