Naiona tofauti kubwa kiutendaji ktk wizara ya Kilimo , Mifugo na Uvuvi kati ya Waziri Nchemba na Dkt.Tizeba.
Kwa kipindi alichokaa ktk wizara hiyo Nchemba alitembelea maeneo mengi kikazi lakini hakuchukua hatua kwa viongozi wazembe na wavivu nachokumbuka alionekana sana ktk picha kwenye matukio akivalia kombati wakati fulani alivamia machinjio saa nane usiku . Sasa kipindi cha sakata la sukari Waziri huyu alikaa kimya na kumwachia mh.Rais akahangaika na mafisadi wa sukari mpaka mwisho tulishuhudia mengi mnakumbuka.
Waziri Tizeba ameonekana kithubutu na kuwasimamisha kazi viongozi wazembe na wavivu hadharani na kukemea kwa nguvu zote vitendo vya hovyo hovyo. Naona Waziri huyu akifanya mambo mazito ukilinganisha na Waziri Nchemba ktk wizara hiyo ambaye alipenda sana kupiga picha kuliko kazi.
Tizeba akielndelea kwa mwendo huu naona wizara itaubeba uchumi uliolala ktk sekta ya kilimo.