johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,618
- 142,962
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.
Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.
Source: Mwanzo tv
Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.
Source: Mwanzo tv