Uchaguzi 2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

Siku zingine utumie Akili kidogo kwani Kihistoria CCM hupata 'taabu' mno hapo Karatu hivyo Kumtumia Dk. Slaa Kuwavutia Watu ni 'Mtaji' tosha tu.
Mkuu sio CCM hupata tabu mno..
Ila CCM haijawahi kushinda Karatu Tangu mfumo wa vyama vingi uanze .!!
Achilia mbali kupata tabu, hawajawahi kumiliki jimbo hilo
 
Hajaanza kutumika mwakahuu hata 2015 alitumika sana kama mzalendo baada ya kumkimbia Lowassa kwakigezo kwamba ni fisadi. Kule alipotoka wakamuita mzee wawatu oilchafu,fisadi nk . Marahii wamempokea tena eti amerudi nyumbani
Tena maisha ya wanasiasa yaani achenitu
 
Back
Top Bottom