Dkt. Slaa awapevua wananchi wenye mawazo mgando

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kutokana na sakata la ajali ya mabomu ya Gongo la mboto, katibu mkuu wa CHADEMA amewapevua wananchi mawazo ya kuwa hivi sasa si wakati kuwalaumiana kuwa nani ajiuzulu au nani mwenye makosa, la msingi ni kuwahudumia majeruhi na wahanga wa mkasa huo ili warudi katika hali yao ya kawaida, kwani ajali haina kinga.

Hivyo basi, mie naungana nae mkono kabisa Mh. Slaa kwa kuwapevua mawazo watu wenye fikra mgando za kufikiria watu kujiuzulu na kuendeleza siasa za maji taka badala ya kuwahudumia wahanga.

Source : Mwananchi 21.02.2011
 
huna jipya..
 
Nakupongeza doktari kwa kuonyesha ukomavu wako wa kisiasa. Umejipambanua na wale wanaotumia kila fursa kutafuta umaarufu wa kisiasa(cheap politics)
 
Siku zote maji na mafuta hayawezi kukaa pamoja ! ndivyo alivyo onyesha dokta kwa wananchama wake
 
Hata hivyo haipaswi kuishia kwenye kuhudumia wahanga...haya ni matokeo tu, ni lazima chanzo kijulikane na kishughulikiwe

Uko uzembe, yes ofcourse uko uzembe....na hapa ndipo tunapokuja kwenye kutaka kuwajibika kwa wazembe...tutawahudumia waathirika lakini tutataka wazembe wawajibike ili tusiwe na kazi moja tu ya kuhudumia waathirika kwa kuendelea kutunza wazembe...lazima chanzo cha tatizo kishughulikiwe, uzembe wa GB na Mkwere wake
 
Kutokana na sakata la ajali ya mabomu ya Gongo la mboto, katibu mkuu wa CHADEMA amewapevua wananchi mawazo ya kuwa hivi sasa si wakati kuwalaumiana kuwa nani ajiuzulu au nani mwenye makosa, la msingi ni kuwahudumia majeruhi na wahanga wa mkasa huo ili warudi katika hali yao ya kawaida, kwani ajali haina kinga.

Hivyo basi, mie naungana nae mkono kabisa Mh. Slaa kwa kuwapevua mawazo watu wenye fikra mgando za kufikiria watu kujiuzulu na kuendeleza siasa za maji taka badala ya kuwahudumia wahanga.

Source : Mwananchi 21.02.2011

Am very sorry to say, this is not the way he gave out the statement.I know what he thinks and how symphathetic he is, but this are not his really words.wrong quotation.
 
Josephine, may I ask a question here?.....are you our First Lady? Just curiosity
 
sasa waliopevuliwa hapo ni kina nani? na hayo mawazo yao mgando ni yapi?

that heading doesnt suite the content of ur msg...
 
..Dr. Slaa am not your fun, but you have worn my heart for this I salute you Sir and will possibly vote for you in 2015 if EL dies before that time..
 
Josephine, may I ask a question here?.....are you our First Lady? Just curiosity

Tell me what do you mean by being a First Lady? mimi ni Josephine mmoja wa wapambanaji wa Chadema na swala hapa ni taarifa haiko sahihi.
 
Josephine, may I ask a question here?.....are you our First Lady? Just curiosity

Wewe umekosea! Ungeuliza " Are you our "President's" lover, mistress, mpango wa kando, etc angekuelewa! Ila First Lady? Umemsingizia!!!
 
Kutokana na sakata la ajali ya mabomu ya Gongo la mboto, katibu mkuu wa CHADEMA amewapevua wananchi mawazo ya kuwa hivi sasa si wakati kuwalaumiana kuwa nani ajiuzulu au nani mwenye makosa, la msingi ni kuwahudumia majeruhi na wahanga wa mkasa huo ili warudi katika hali yao ya kawaida, kwani ajali haina kinga.

Hivyo basi, mie naungana nae mkono kabisa Mh. Slaa kwa kuwapevua mawazo watu wenye fikra mgando za kufikiria watu kujiuzulu na kuendeleza siasa za maji taka badala ya kuwahudumia wahanga.

Source : Mwananchi 21.02.2011
Alishasikia kuwa jeshini hakuna kujiuzu unatarajia yeye angesema nini
 
As we have already said, he has also said it. Questions to the correct authority will be asked at the right time! Though as I know we Tanzanians, we tend to forget so quickly!!!!!
 
Wewe umekosea! Ungeuliza " Are you our "President's" lover, mistress, mpango wa kando, etc angekuelewa! Ila First Lady? Umemsingizia!!!

Ha ha haaaaaa, hebu tupeni majibu basi swali ni hilo hapo
 
Back
Top Bottom