Hoja ya kwanza kwamba aliwataka wanachama wa Chadema wakae kimya kusema wakae kimya ni kweli maana Issue iliyopo Mahakama kiutaratibu hatupaswi kuitolea majibu mpaka mahakama itoe hukumu ili Dkt hakukosea ila ndo utaratibu wa ulivyo Duniani.Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.
1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.
Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.
2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.
Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.
3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.
Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.
Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
Mchawi sana huyo mzee.Dr. Slaa uuchukue huu ushauri. Usiamini kwamba anaweza kuiharibu CHADEMA kwa maneno yako machafu.
Mwenzako Magufuli alitumia maneno, polisi, TiSS, Mahakama, TRA ili kuiua CHADEMA alishindwa, sembuse Dr Slaa ambaye huna chochote, zaida ya mdomo.
Chadema Sasahivi ina mbunge mmoja,tena nae ni mwananke 🤣🤣🤣harafu mnasema haijafa,labda Chadema ya jamii forumsDr. Slaa uuchukue huu ushauri. Usiamini kwamba anaweza kuiharibu CHADEMA kwa maneno yako machafu.
Mwenzako Magufuli alitumia maneno, polisi, TiSS, Mahakama, TRA ili kuiua CHADEMA alishindwa, sembuse Dr Slaa ambaye huna chochote, zaida ya mdomo.
Kama vipi ajiajiri tu.Babu njaa inamwandama hakujipanga ujanani..!! Asaidiwe apate ajira atulie.
Mwendazake alikiapiza kuifuta CDM matokeo yake kafutika yeye CDM ni kama ya juzi jana leo na mwakani..Dr. Slaa uuchukue huu ushauri. Usiamini kwamba anaweza kuiharibu CHADEMA kwa maneno yako machafu.
Mwenzako Magufuli alitumia maneno, polisi, TiSS, Mahakama, TRA ili kuiua CHADEMA alishindwa, sembuse Dr Slaa ambaye huna chochote, zaida ya mdomo.
Hakuandaliwa / hakujiandaa kujiajiri na ndiyo maana sasa hivi anafanya kazi ya unyoka ili aishiKama vipi ajiajiri tu.
Hivi ndivyo Mungu anavyowaumbua wanafikia. Wakati ule tuliumia sana. Kumbe Mungu alitaka kutudhihirishia baadaeIla Mungu fundi pengine Slaa angekua Rais wa hovyo kuliko mwendazake
Mgonjwa anapigaje kwenye mshono? We sema kajipiga mwenyewe kwenye mshonoSlaa kapiga kwenye mshono.
Wenge la kufiwa na sponsor, Poleni majirani!!Slaa kapiga kwenye mshono.
Babu anazingua sana nazani Akili zake ziliishia pale pale Serena hotel alipo kuwa akihutubia waandishi.Binafsi niliupenda upinzani kupitia slaa na alikuwa roll modal wangu, Ila kwa Sasa anezidi upuuzi, analamba matapishi yake! Kweli siasa mchezo mchafu
Ndio walio mpa sumu Mangula wakiwa kikaoni na kumuua KolimbaChadema wana sifa hiyo toka kwakina Chacha Wangwe
Nakazia Nakazia Nakazia))Dr. Slaa ni mgonjwa wa Dementia. Hili nina uhakika nalo kwa 100%. Tumsamehe anayoropoka ni kwa sababu ya ugonjwaView attachment 2204727
CCM bado inamtumia vizuri snBabu anazingua sana nazani Akili zake ziliishia pale pale Serena hotel alipo kuwa akihutubia waandishi.