Dkt. Slaa aliwashauri Zitto na Mbowe wakubaliane kuachiana Uenyekiti

Regret but doing the same thing again..

Post election agreements ya yeye na wenzake aliondoa public trust kwa kiwango kikubwa sana. Zitto sijui nani huwa anamdanganya sometimes..
Mbowe na Zitto ni watu wa usalama wa Taifa, wana uhuru wa kufanya siasa watakavyo lakini kitengo kikitaka wafanye jambo fulani kwa ajili ya masilahi ya Taifa basi lazima watii!
 
Zitto mnafiki anasema hakushiriki kuandaa waraka ila alikuwa nawajua wahusika mpaka kuwataja M2 alikuwa Mwita Waitara . Kwenye hesabu kuna topic inaitwa logic ukiunganisha maneno ya Zitto unajua wazi ni mwongo na mnafiki.
 
Eeeh pale Uenyekiti ni sehemu pachungu sana! Kwani Chacha Wangwe hujui kilimkuta nn?

Sent using Jamii Forums mobile app


ukisoma between the lines maneno ya Zito utaona issue haikuwa Kugombea uenyekit.. bali kulikuwa na kikundi kilichokuwa na malengo maalum.. ndo hao anaosema Zito walimshawish had wakamletea form Airport.. maana yake yeye alikuwa anatumika tu.

kwa lugha ingine hiki kikundi kilijua wakimtumia akashinda then wataingia plan B ya kubadilisha muelekeo wa wa chama kimalengo na kimakakati.. problably kwa ajili ya kuweza kukocontrol
kwa faida flan. labda pengine Chama tawala waliweka mkono kwenye hako kakikundi.

its a known practise tasisi flan kuweza kupandikiza watu wao ndan ya tasisi ingine ili kuweza kulinda maslah yao..

haiko tu kwenye tasisi za kiusalama za inchi lakin hadi huku kwenye vyama vya Siasa ambapo kimsingi ndo Serikali inapotengenezwa ipo.. ukiweza kuwa na jicho na sikio kwa mpinzan wako ushamshinda 50%

So utaona Zitto alikuwa anatumika sababu anasema kuwa ilibidi kuwalinda. na kama mpaka waraka uliandikwa ambapo inaonekana lengo halikuwa tu kumsuport Zitto ashinde kulikuwa kuna la zaid nyuma yake..

Kinachosikitisja ni kuwa Zitto

1. anaukana waraka wa mpango kazi ambao yeye ndo mfaidikaji kama ungefanikiwa maana yake awalioandaa walishamuona ni weak anaweza akatumika kirahs

2. Anasema ilibidi awafiche walioandaa huo mpango kuwalinda maana yake alipohojiwa hakuwasema.. so katika hali ya kawaida kama
ww sio sehem ya consipiracy then unatumika kwa maslah ya wengine na ukaonyeshwa ushahid, kwa Elimu na upeo wa Zito inatia shaka kuwa alikubali kutumika pasipo kuhoji kulichopo nyuma ya pazia..

Kuna Mengi kayaficha. what i know ni kuwa naona plan yake ya kuifanya ATC iwe chama kikuu cha upinzan imefeli na sababu kubwa .. mabadiliko ya CCM ya kiutawala ndo yameharibu plan yake maana ilitegemea zaid ain ya Mfumo wa kiutawala upande wa CCM.

rejea comment za Fatma Karume mara baada ya uchaguz na Zito na ACT kuonyesha kuunga mkono na kukubali uteuz wa ACT Zenji.. Fatma Karume alionekana kukerwa na hasa akisema alimkubalia Zito kumpa Support had akaja kwenye mkutano wao na Zito kakubal kutumiwa.. again nahs kuna Mengi hajaweka waz
 
Baba levo na mwijaku wanatoa tafsiri halisi ya watu wa kigoma

Kaburu na zito kabwe wanakazia uhalisia wao ni snitch wazuri sana watu wa kigoma usaliti nje nje mda wowote uroho wa madaraka
 
Back
Top Bottom