Dkt Samia, Rais pendwa wa dunia; muasisi wa haki na uhuru wa pili Tanzania

Ulijisafisha ile skendo yako mkuu?
Msemaji wa Serikali alipigilia msumari kuwa zile tuhuma zilikuwa kweli
JamiiForums1049284733.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa nilipishana naye hapa Dodoma mida ya usiku akiwa na mjibaba mmoja katika pozi ambalo si la kawaida, kuuliza nikaambiwa huyu jamaa ni shoga maarufu tu, sasa na hapa nimeangalia jinsi alivyokaa kuanzia macho yake, pua mpaka akili zake, Nakiri kuwa nimethibitisha kwamba huyu jamaa anafanya biashara chafu ya kuuza kinyeo hasa kwa viongozi.
Ni kweli

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma kidogo tu bandiko lako lakini naona unajichanganya, kama unamimin nchi ilikua chini ya mkoloni , ulirudi upande WA pili kusapoti hizo sera za kikoloni au za ukosefu WA uhuru?
 
Wewe Juma huna cha kuwambia watu wanaokujua. Ni njaa tu zinakutuma.

Ni mwasisi wa haki na uhuru. Mbona ulikuwa unawashabikia hao waliotowesha haki na uhuru ukawaita ni wazalendo?

Uteuzi hupati maana kila mtu anakujua unafanya hivyo kwa unafiki tu.
Kwamba amedanganywa uteuzi ni ukimsifia Rais. Kimsingi mama Samia ana akili mingi anaona huu ni unafiki
 
Back
Top Bottom