Utulivu unasumamiwa na akina AwadhRais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023
Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 β Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.
The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.
Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105Top 7 Best Performing African Leaders in 2023 - The African Times/USA
TOP RANKINGS The Best Performing African Leaders ranking is an annual report of leaders who have performed better than their peers in the continent of Africa Across Africa's dynamic landscape, seven leaders rise above the challenges, fostering remarkable progress in their respective nations...theafricantimes.com
Nonsense,wamemjuaje,kwani anawaongoza.Ni moron na minion wao ndio maana.Halafuu,wametumia mechanism na method gani kujua she is the best,wanabwata tu.Very stupid of them.Naomba nirudie,ukiona Rais wenu anapendwa na nchi za magharibi mjue mnapigwa,wake up fellow.Samia frankly alitakiwa kwa busara ,hekima,weledi na IQ aliyo nayo, kuwa Mwenyekiti wa UWT, sio Rais wa nchi.Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023
Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 β Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa katika kuimarisha maendeleo na utulivu nchini Tanzania.
The African Times USA imeangazia juhudi za Rais katika kuleta mabadiliko makubwa ambayo yameinua Tanzania katika nyanja za ukuaji wa uchumi, utawala bora, na mageuzi ya kijamii. Jitihada zake za kukuza umoja, demokrasia, na uwezeshaji wa wanawake zimeweka mfano wa kuigwa na viongozi kote barani Afrika.
Heshima hii ni uthibitisho wa kujitolea kwa Rais Samia katika kuhakikisha maendeleo na ustawi wa Tanzania na ahadi yake thabiti kwa ustawi wa wananchi wake.
View attachment 3071105Top 7 Best Performing African Leaders in 2023 - The African Times/USA
TOP RANKINGS The Best Performing African Leaders ranking is an annual report of leaders who have performed better than their peers in the continent of Africa Across Africa's dynamic landscape, seven leaders rise above the challenges, fostering remarkable progress in their respective nations...theafricantimes.com
Umesahau kuwashughulikia vibaraka ππLabda bora wa kuuza rasilimali za nchi
Mkuu hivi unamjua Netamyahu mpaka unajiita jina lake kweli?Hebu follow the link below uone how evil the man is.Labda bora wa kuuza rasilimali za nchi
Kwa kuuza mali za umma hana wa kufanana naye na kuruhusu wizi kwenye mifumo ya umma + udini kwenye teuzi zakeUmesahau kuwashughulikia vibaraka ππ
Pili Samia utamlinganisha na tajataka gani hapa Afrika Kwa Sasa?
Wewe umeshaiba bei gani Hadi Sasa?Kwa kuuza mali za umma hana wa kufanana naye na kuruhusu wizi kwenye mifumo ya umma + udini kwenye teuzi zake
Wewe ndiyo Evil, ulitaka achokozwe wauawe watu wake zaidi ya 1300 akae kimya iliakufurahishe wewe? Tena inatakiwa wapigwe haswa Wapalestina mpaka washike adabuMkuu hivi unamjua Netamyahu mpaka unajiita jina lake kweli?Hebu follow the link below uone how evil the man is.
Israel Sweeps Anal Rape Competition at Paris Olympics - VT Foreign Policy. This is how evil the World and especially Israel has become.So the murder of innocent children and women,the rape they are carrying out on Palestinians is understandable.Natanyahu is the head coach of the rape team and in the Olympics?It is extreme evil never seen in the history of mankind.
Mwite kwanza bwana akoWewe umeshaiba bei gani Hadi Sasa?
Nimemute Awadh ? ππππ
Sasa akichokozwa ndio apeleke rape kama mchezo kwenye Olympics; wa-rape Wapalestina,si watoto akina mama na vijana na wazee wa Kipalestina!!!???You must also be very evil.I believe I am sharing with the wrong person.Wewe ndiyo Evil, ulitaka achokozwe wauawe watu wake zaidi ya 1300 akae kimya iliakufurahishe wewe? Tena inatakiwa wapigwe haswa Wapalestina mpaka washike adabu
Ulitaka wabembelezwe? wamlaumu aliyewatuma kwa huo ujinga wao na hayo ndiyo matokeo halisi, hakuna muda wa kubembelezana.Sasa akichokozwa ndio apeleke rape kama mchezo kwenye Olympics, wa-rape Wapalestina,si watoto akina mama na vijana na wazee wa Kipalestina!!!???You must also be very evil,I believe I am talking to the same person.
So you can also do that,mmm?? Hivi unajua kwamba hata kuua under any circumstances is evil?Mkuu wars are of the Devil,we as humanity are supposed to live in peace as God's sons and daughter.So the fact that you are endorsing evil,shows clearly that you are of Satan and also evil.Ulitaka wabembelezwe? wamlaumu aliyewatuma kwa huo ujinga wao na hayo ndiyo matokeo halisi, hakuna muda wa kubembelezana.