Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

Watakuwa wamechuma dhambi bure maana, kubenea ambaye obvious walijadiliana kwa mapana juu ya kuifanikisha habari hiyo amebaki. So kama ni kweli kumuonya kubenea jambo ambalo nadhani bado hawajafanikiwa zaidi ni kuchuma dhambi ya kukatisha uhai wa mwanahabari huyo.

Wanahabari CCM ni zimwi kujipendekeza kwao ni kukaribisha kwenu.

R.I.P mwanahabari!
 
Serikali imkamate mengi kwa uchochezi.Mengi ni mtu mnafiki na mchonganishi sana,mengi ni mmoja Wa watu waliowachonganisha jk na lowassa halafu yeye ndio kawa rafiki Wa lowassa na rostam,urafiki unaotia Shaka,naomba afe natural death akiwa usingizini asimuone rais ajaye
Naungana na wewe Kim, huyu babu mwenzangu ni mnafiki wa kutupwa, serikali imkamate na ahusike kwa kifo hicho, kuna maswali mengi ya kujiuliza, yeye Mengi alijueje kuwa Kamukala anafatilia hiyo habar? Ana maslahi gani na waandishi wa habar za uchunguz? Je mwandishi alikuwa anareport kwa Mengi mpka ajue kuwa marehem alikataa mamilioni? Kwanini Mengi ahusishwe kila mara kuichokonoa serikali? Ni muda mwafaka sasa serikali imshughulikie huyu mtu
 
Moja ya maswali critical zaidi kuwai kuulizwa na mtanzania. Nadhani unastahili kufanya kazi CIA au taasisi nyeti za uchunguzi kama FBI. Sidhani kama kuna watu watakuelewa na kama wapo basi ni wachache sana.
We need people who think critical and ask critical questions like you in our Tanzanian society. Nakwambia hapa umemaliza yote.
 
Nina wasi wasi inaweza kuwa ni habari ya ile list ya waliobeba pesa za Escrow kwenye maboksi, lumbesa na mifuko ya sandalusi. Mradi Kubenea yupo, tutaipata tena wakati huu ndio wa kuitoa kwani itakuwa tayari ilishaandaliwa na marehemu
 
Wabongo bana akili zetu zipo kwenye kaptula na sketi tu, mtu ametoa mwanga wa kifo cha mwanahabari kwa jinsi anavyojua yeye, baada ya watu kudai uchunguzi huru mnalaumu mtoa habari, akili za baikoko tuu
Huo ndio ujinga wa watanzania wengi. Mtu akitoa hoja au dai wanaacha kujadili hoja au dai lake wanaanza kumjadili mtoa hoja.
 
Serikali imkamate mengi kwa uchochezi.Mengi ni mtu mnafiki na mchonganishi sana,mengi ni mmoja Wa watu waliowachonganisha jk na lowassa halafu yeye ndio kawa rafiki Wa lowassa na rostam,urafiki unaotia Shaka,naomba afe natural death akiwa usingizini asimuone rais ajaye

haya kakojoe ulale chalii angu tumekusoma tayari.Usisahau kutandika mpira hapo kitandani,magodoro yamepanda bei nawe kila usiku unaota uko chooni dah!
 
Huyu mzee wa media naye awe mkweli,habari hiyo si aiseme tu? Habari inajulikana na mtu mmoja tu? Ataishia kuoa mamiss tu ambao ni sawa na wajukuu wake.

Sasa hiyo habari na Kuoa Miss vinahusiana nini?Kwani miss hafai kuolewa au kuoa miss Ni dhambi?Akili yako haina tofauti na ya yule mwanafunzi aliyeandika verse kwenye mtihani badala ya kujibu maswali
 
Uzushi wa mengi na kubenea tumeuchoka kama anajua jambo mbona haweki wazi ndorooooobo kabisa huyu mzee.
 
Wabongo bana akili zetu zipo kwenye kaptula na sketi tu, mtu ametoa mwanga wa kifo cha mwanahabari kwa jinsi anavyojua yeye, baada ya watu kudai uchunguzi huru mnalaumu mtoa habari, akili za baikoko tuu

Hongera mkuu. Watu wana chuki binafsi. Kwa kuwa hilo limedokezwa na Mengi basi anapuuzwa. Angesema Mzee tupa tupa wa lumumba angeungwa mkono. Watu wa usalama mzee Mengi ni msaada kwa uchunguzi wa kifo cha Kamukara (kama uchunguzi unahitajika).
 
Uzushi wa mengi na kubenea tumeuchoka kama anajua jambo mbona haweki wazi ndorooooobo kabisa huyu mzee.

Hivi wewe uliwahi kufikiri vema juu ya haya?

Kumwagiwa tindikali kwa shehe huko Arusha na Zanzibar?

Kuuawa kwa kuchinjwa ndg Msafiri Mbwambo wa chadema kule Arusha?, kuuawa kwa Mwangosi kule Nyololo Iringa,na kupigwa risasi kwa muuza magazeti kule morogoro?,

Kupigwa ,kuteswa,kunyofolewa kucha kwa Dr.ulimboka,kupigwa na kuteswa kwa mwandishi Absalom kibanda?

Kuuawa kwa Askari Kombe?

Yoote haya,uliwahi kusikia serikali inachukua hatua?

Soweto bomu lilirushwa,pale kanisani likarushwa je,ulwahi kuona serikali ya ccm inafuatilia?

Nadhani wanachama na viongozi wa ccm hawafi na wakifa wanaenda sehemu bora kuliko ya wanachadema.Ipo siku yatawarudi tu!
 
Back
Top Bottom