Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,032
kunywa soda baridi kwa mangi nakuja kulipa. umemaliza mzeeMipango safi,fedha apewe Kimei, sheria apewe Rose Migiro,Tamisemi apewe Mtaka wa Simiyu.Jafo apewe wizara nyingine,Mambo ya nje Makamba.
Afya Ummy au Ndungulile.Katambi,waitara,silinde hawa mda wao wa kuunga juhudi umeexpire rasmi trh 17 march walifaa kwenye zama za ubabe na propaganda na sio hizi zama za uwazi na ukweli haki na weledi