Inabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo
Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
MUNGU akiamua kukuinua unainuka tu.Hii ndo ngazi ya mwisho ya juu alofikia Dr. Mpango usitegemee zaidi
DaaahDr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Sawa Mkuu.Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Tunza kumbukumbu hii ameinuliwa mpaka hapo alipo itakua zamu ya wengineMUNGU akiamua kukuinua unainuka tu.
Sawasawa.Sawa Mkuu.
Hakuna anayeombea mabaya yamkute raisi ili mpango ainuke ila mambo ya utabiri unao tegemea nguvu za kibinadamu hauna maana. Katika maisha lolote linawezekana kutokea kwa mapenzi ya MUNGU.Hii ndo ngazi ya mwisho ya juu alofikia Dr. Mpango usitegemee zaidi
Tunza kumbukumbu hii ameinuliwa mpaka hapo alipo itakua zamu ya wengine
Mimi bukheri wa afya,sijui weye yakhe?Mwananchi nakusalimu tyuuu! U hali gani!?.
Hiyo miaka Mtakatifu anaongoza Malaika au???.
😂😂😂Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Usikute wewe mwenyewe ndiye Dr. Mpango! Ulikuja kujipigia chapuo humu!! 😇 Anyway, hongera sana kwa uteuzi. Huenda malengo yako yakatimia siku za usoni.Inabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo
Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
Duh pengine Gwajima aka mfufuwe huko mavumbini!Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Vipi mzee bado una msimamo ule ule???Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.
Na log off.Vipi mzee bado una msimamo ule ule???
Uteuzi wake kama Makamu wa Rais unaendeleza legacy ya Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dr JPM. MsikilizeniSasa Tanzania inarudi anga zake. Anga za ukuaji ukweli was uchumi. Uchumi unakuwa sambamba na hali za wananchi was kawaida. Uchumi wa jembe letu JK. Mpango + misingi alioiweka Marehemu =tutatisha
Mipango safi,fedha apewe Kimei, sheria apewe Rose Migiro,Tamisemi apewe Mtaka wa Simiyu.Jafo apewe wizara nyingine,Mambo ya nje Makamba.
Afya Ummy au Ndungulile.Katambi,waitara,silinde hawa mda wao wa kuunga juhudi umeexpire rasmi trh 17 march walifaa kwenye zama za ubabe na propaganda na sio hizi zama za uwazi na ukweli haki na weledi
Bado ni Western alliance ile ile.Inabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo
Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
😆😆😆😆😆Dr.Mpango asubiri kwanza.Magufuli anachapa mwendo mpaka 2030.alafu wananchi tutaangalia tumuongeze tena mpaka 2035 au apumzike.