Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya migogoro.
Aidha amewataka viongozi ngazi ya mkoa hadi kijiji kutumia njia mbadala kwa ajili ya utatuzi badala ya kutumia njia ya kwenda kwenye vyombo vya sheria mara kwa mara, ama kusubiri ujio wa viongozi wa kitaifa