Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,678
- 218,188
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua Jessica kwa kutumia tume ya uchaguzi zilipobuma upepo ukageuka jumla , ama kwa hakika hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha !
Picha hii hapa chini ya mkutano wa kata ya Ndago ni sehemu ndogo tu ya hali ilivyo hadi sasa
Picha hii hapa chini ya mkutano wa kata ya Ndago ni sehemu ndogo tu ya hali ilivyo hadi sasa