Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa uasi si jambo baya, hasa pale ambapo mtu anaamua kuasi mifumo kandamizi kwa lengo la kujikomboa.
Hata wanangu wa kike nawaambia kama waume zao wanawapiga, wafanye uasi!
Hata wanangu wa kike nawaambia kama waume zao wanawapiga, wafanye uasi!