Dkt. Mwakyembe unatutia kichefuchefu Watanzania

Dkt. Mwakyembe unatutia kichefuchefu Watanzania

Nawashangaa waliokupa hizo likes, umeongea kwa hisia hasi kiasi... embu tueleze hiyo dhana ya unafiki na alichokosea ili tusiofahamu tufahamu....?
Unashangaa nini....!! Kwani wewe nikipofu wa fikra ?? Eti alicho kosea ?? Tumia akili yako kutafakari....! Hata hivyo unaweza chagua kuwa kipofu...
 
Hayo ni matokeo ya elimu ndogo. Mnajadili yanayowazidi uwezo. Huwezi kuwa na kesi harafu wewe ukatoa hukumu. Nyie ni viraza.
 
Duh..!humu JF kuna vichekesho sana.....!

Aise mkuu mwambie waiter akuongeze ya pili na ya tatu nakuja kulipa sasa hivi.......
Umejuaje kuwa nipo na chupa ya banana pembeni hapa..

I choose banana as a substitute of viroba
 
Kakalia kutafuta kiki ya kumpatanisha diamond na ali kiba ya maana anayazika
 
Kwa kweli Mzee wetu Mwakembe uko kama umelogwa au una nizamu ya woga.
Unaharibu kabisa sifa ya taaluma yako kiasi wanafunzi wako ndiyo wanakuonyesha njia na kukuongoza. Unawafanya Watanzania kama vile wajinga hatuelewi chochote. Kwa kweli unakosea sana.

Mimi ni Darasa la Saba tu , lakini hivi sasa nimekuwa sikuelewi kabisa katika utendaji wako zamani nilikuamini sana , tena sana kiasi kwamba nilikuombea kwa Mola uwe Rais wa Nchi hii au kosakosa uangukie Uwaziri Mkuu. Lakini kila siku zinavyo kwenda nahisi nilifanya makosa kukuombe. Sura yako imejaa unafki mkubwa na unatumia taaluma yako ndivyo sivyo. Naomba uelewe hapa Dunia tuko kwenye mapito tu , tumia taaluma yako vizuri na kwa ukweli na haki tu. Acha woga, Acha unafki simamia Haki. Watanzania Milion 50 tunategemea wasomi kama wewe mtutetee na kulinda Haki zetu. Tafakari na Jitathmini katika utendaji wako. Wewe ulikuwa Waziri wa Sheria na Katiba kama Taaluma yako , lakini Ghafla umetupwa kwenye Michezo. TAFAKARI !
Kichefuchefu kakutia wewe pekeyake sijui mkiwa wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom