Kaka una ushahidi?????Yaani nimejikuta nakupa like yangu katikati ya threads, nataman JF wangekuwa wanatoa hata like zaid ya tano..
Kiukweli ushawish wake umepungua kwa kasi sana na hana tena mvuto wa kisiasa..
Kuna wakati nikikaa nawaza nasema, huenda ile riport ya Richmond, ambayo kimsingi ndio iliyompa umaarufu nayo huenda ilikuwa ya kinafiki ndio maana Lowasa aliamua kumiminia tindikali uson
Kwa kweli Mzee wetu Mwakembe uko kama umelogwa au una nizamu ya woga.
Unaharibu kabisa sifa ya taaluma yako kiasi wanafunzi wako ndiyo wanakuonyesha njia na kukuongoza. Unawafanya Watanzania kama vile wajinga hatuelewi chochote. Kwa kweli unakosea sana.
Mimi ni Darasa la Saba tu , lakini hivi sasa nimekuwa sikuelewi kabisa katika utendaji wako zamani nilikuamini sana , tena sana kiasi kwamba nilikuombea kwa Mola uwe Rais wa Nchi hii au kosakosa uangukie Uwaziri Mkuu. Lakini kila siku zinavyo kwenda nahisi nilifanya makosa kukuombe. Sura yako imejaa unafki mkubwa na unatumia taaluma yako ndivyo sivyo. Naomba uelewe hapa Dunia tuko kwenye mapito tu , tumia taaluma yako vizuri na kwa ukweli na haki tu. Acha woga, Acha unafki simamia Haki. Watanzania Milion 50 tunategemea wasomi kama wewe mtutetee na kulinda Haki zetu. Tafakari na Jitathmini katika utendaji wako. Wewe ulikuwa Waziri wa Sheria na Katiba kama Taaluma yako , lakini Ghafla umetupwa kwenye Michezo. TAFAKARI !
Mm,mwenyewe nilitarajia nione hicho unacholalamikia lakin sijakiona,na sijajua kwann povu linakutoka kiasi hicho,tupe sababu na kosa lake,ili malalamiko yetu yamtendee haki.Hapa umekuwa kama polisi wetu hapa Tz ...... unakula makofi, mateke, ngumi na virungu,, ukiwa hoi ndio unaambiwa kosa lako! Hata kama hujafanya utajua mwenyewe na Mungu wako.
Wewe unamshambulia tu huyu mzee wa watu, mueleze matatizo yake sasa! Ajitafakari achukue hatua.
Kutokana na Avatar yako bila shaka wewe utakuwa Mzambia tuu[emoji38] [emoji38] [emoji38]Dah..... Nahisi mimi siyo mtz.... Mbona namuona yuko poa tu[emoji13] [emoji13]
Kosa lake ?? Tumia akili yako kutafakari....! Hata hivyo unaweza chagua kuwa kipofu...Mm,mwenyewe nilitarajia nione hicho unacholalamikia lakin sijakiona,na sijajua kwann povu linakutoka kiasi hicho,tupe sababu na kosa lake,ili malalamiko yetu yamtendee haki.
Dah.... Lakini kutapika tapika kwa mwanaume siyo dalili nzuri[emoji13] [emoji13]Kutokana na Avatar yako bila shaka wewe utakuwa Mzambia tuu[emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah.... Lakini kutapika tapika kwa mwanaume siyo dalili nzuri[emoji13] [emoji13]
Duh..!humu JF kuna vichekesho sana.....!Yaani nimejikuta nakupa like yangu katikati ya threads, nataman JF wangekuwa wanatoa hata like zaid ya tano..
Kiukweli ushawish wake umepungua kwa kasi sana na hana tena mvuto wa kisiasa..
Kuna wakati nikikaa nawaza nasema, huenda ile riport ya Richmond, ambayo kimsingi ndio iliyompa umaarufu nayo huenda ilikuwa ya kinafiki ndio maana Lowasa aliamua kumiminia tindikali uson