Na aulete huo ushahidi maana kwa wanavyomshambulia back to backUjinga tu, sasa Mwaka aje na ushahidi... hapo Ngoma imeisha,
Muulize huyo aseme vizuriWalikutapeli nini?
Pole sana mkuu walikutapeli nini ? Wana jukwaa tupate kufahamu na kujikingaHao wote na shehe wa mkoa ni matapeli zaidi ya shwetani
Kumbe ni ugomvi wa ndugu, hayà tubebe majembe tukalime sie....tuwaachie wavaa kobazi mambo yaoMwaka kachafua hali ya hewa😀😀Alisema masheikh wacha Mungu wapo,lakini pia kuna masheikh waovu akasisitiza ushahidi upo!
Samahani mama, niko nje ya mada. Naomba connection yoyote ile. Mtaani kugumu! Mimi kijana wako naishi chini ya dola moja kwa siku.Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:
Waarabu wa Pemba hao...Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka:
Ni nani huyu? Binafsi simfahamu na anadai Dunia nzima inamfahamu...mimi nipo Duniani sijaenda hata sayari ya karibu tu hapo. Nadhani pia anapaswa apunguze jazba. Ajielezee kwa utulivu mzuri. Amani haichafuki kirahisi kama anavyodhani. Na pengine anataka kuza jambo hilo analolizungumzia. Huyo Mwaka ni nani mpaka achafue amani? Some people are just to be ignored.Wanaofahamu huyu Mwaka kakinukisha nini tena wafunguke hapa, maana mpaka Bi Eshe aseme maneno haya, huyo Mwaka lazima kafanya madudu ya mwaka: