Dkt. Mpango: Maneno yanayosemwa mtaani, kwamba hali ya uchumi ni mbaya yanaenezwa na wapiga dili

Uyu Dr alipeleka bungeni mapendekezo ya mpango ambayo yako tofauti na ali harisi ya uchumi ndani ya nchi ya kipindi cha miaka mitano. mfano kuwa kutakua na ukame mwaka huu yeye akasema hali ya hewa itakuwa nzuri, kasema kilimo kimechangia kiasi kikubwa kwenye fedha za kigeni na mazao akayataja mpango hamna hela zilizotengwa kuboresha kilimo, kodi kila kitu robo ya mwaka hari ngumu ya mapato na biashara. sina uhakika kama anapanga kitu.
 
Back
Top Bottom