Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Nchi inaendeshwa kwa mwendo kasi.Huku kwetu musoma njaa kali
 
Bora hata litue container 1 lakini lilipe kodi kuliko kuingiza macontainer laki 2 yasiyolipiwa kodi
 
Hii inanikumbusha siku za nyuma kidogo, mwenye nyumba aliwapandisha kodi gafla bila kuwapa taharifa mapema wapangaji wake ili waweze kujiandaa kulipa.
Kilichofuata mwezi ulipofika wa kulipa kodi karibu robo tatu ya wapangaji wote wakahama na kuacha nyumba tupu, ilkaa tupu kwa muda wa zaidi ya miezi minne mpaka mwenyenyumba akajirudi na kupunguza bei tena, na kuanza kupata mpangaji mmoja mmjoja.
Kwa case hii ya bandari nafikiri serikali ikaze buti tu wakati wafanya uboreshaji wa bandari na system zote za usalama, ukaguzi, tarakimu na zinginezo ili wateja wakishaanza kutumia tena bandari hii basi wasiweze tena kubadilika na kuondoka kwa mara nyingine
 
Kwasasa bandari ya mombasa wanakesha na wana mpango wa kuongeza ajira mpya ili kuongeza nguvu ya utoaji huduma bora
 
Kweupeeeeeeee
 
Hatunywi sumuuu hatujingongiiii.... tumeitaka wenyewee chaguo letu wenyeweee acha waisome namba eeeee CCM mbele kwa mbeleee.... ooooh mbele kwa mbeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…