M'bang'ang'walu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 631
- 437
Labda anataka kutuambia kwamba Tanzania sasa ni mkoa wa China kwa hiyo vitu vyote vinavyoingizwa nchini hata kama hivitengenezwi china ila nI lazima kwanza vipitie china kwanza ndipo viletwe TanyaniaSawa soko la China na uchumi wa china umeyunga na Tanzania ni Mdau mkubwa kibiashara na China lakn swali Je ina maana mizigo yooote iliyokuwa inashukua hapo bandarini inatokea China? Na Je kama TZ ni Mdau mkubwa wa kibiashara na China vp hizo nchi ambazo c Mdau wa kibiashara na China zenyewe zimekuwaje?

Ila kuna haja ya kufkri kwa mapana kuna kitu gan cha pekee kilichokua kinafanyika awamu iliopita kufanya mizigo kuwa mingi ambacho sasa hakinyiki na kuasababisha mizigo kufungua?Labda anataka kutuambia kwamba Tanzania sasa ni mkoa wa China kwa hiyo vitu vyote vinavyoingizwa nchini hata kama hivitengenezwi china ila nI lazima kwanza vipitie china kwanza ndipo viletwe Tanyania
HATUA ya kupungua kwa mizigo
inayotoka nje ya nchi kwenye
Bandari ya Salama haitokani na
ongezeko la kodi, anaadika
Regina Mkonde.
Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua
kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.” Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mpango amefafanua kuwa,
kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa
kiuchumi na china kumeathiri.
Kodi haiathiri chochote kile, na
kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.
“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende
wakapate ripoti.”
Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.
“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
Hahaha.Mnaisingizia China kwa vile ni marafiki wenu.
Ila kuna haja ya kufkri kwa mapana kuna kitu gan cha pekee kilichokua kinafanyika awamu iliopita kufanya mizigo kuwa mingi ambacho sasa hakinyiki na kuasababisha mizigo kufungua?

Huyu kaimu meneja nae ni walewale tu, pamoja na maelezo marefu alioyatoa lakini hakuna hoja ya msingiHawajitambui hawa kila mtu anakuja na sababu zake. Sijui ni yupi msema kweli.
WAKATI Mamlaka ya Bandari (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam, imebainika idadi ya mizigo katika bandari hiyo, imepungua tofauti na matarajio.
Akizungumza wakati akifunga warsha ya Wahariri wa Habari mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alitoa mfano wa shehena ya magari yanayokwenda Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
Kwa mujibu wa Mhanga, shehena ya magari yanayokwenda katika nchi hiyo kutoka Januari 2015 mpaka Januari 2016, imepungua kwa asilimia 50 huku shehena ya Zambia ikipungua kwa asilimia 46. Beira Mhanga alisema walipochunguza sababu ya kupungua kwa shehena hizo, walibaini sehemu ya shehena hiyo hasa iliyokuwa ikienda Zambia, DRC na Malawi, inashushwa katika Bandari ya Beira nchini Msumbiji.
Sababu za kushushwa katika Bandari ya Msumbiji, badala ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye unafuu wa umbali kutokana na jiografia yake, Mhanga alisema ni unafuu wa kusafirisha shehena hiyo kwa reli ya Beira mpaka Malawi, tofauti na ilivyo kwa barabara.
Alisema usafirishaji wa reli ni nafuu kwa asilimia 30, ikilinganishwa na usafirishaji wa barabara na kwa kuwa Msumbiji wameshakamilisha ujenzi wa reli ya kisasa, wafanyabiashara wameona unafuu wa kupitisha mizigo katika Bandari ya Beira kuliko ya Dar es Salaam.
Athari hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam, huenda ikawa mbaya zaidi baada ya kukamilika kwa reli ya kisasa inayoanzia katika Bandari ya Mombasa mpaka DRC, kwa kuwa itaongeza unafuu wa usafirishaji wa mizigo katika bandari hiyo shindani kwa Tanzania.
Katika warsha hiyo, ilifafanuliwa kuwa dunia nzima bandari zimekuwa na mafanikio, kutokana na kuwa na mfumo wa reli za kisasa unaotoa mizigo bandarini na kufikisha kwa mteja, jambo linalokosekana katika Bandari ya Dar es Salaam.
Durban Shehena nyingine iliyokuwa ikipitia nchini, imebainika kupelekwa katika Bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kutokana na unafuu uliotokana na matumizi ya fedha ya nchi hiyo, Rand, katika utozaji wa gharama za kutoa mizigo, tofauti na Tanzania ambako gharama hutozwa kwa Dola ya Marekani.
Akifafanua hali hiyo, Mhanga alisema kwa sasa Rand imeshuka thamani na hivyo mfanyabiashara mwenye Dola ya Marekani, atatumia Dola chache za Marekani kulipia tozo hizo kwa Rand ya Afrika Kusini iliyoporomoka thamani.
Kutokana na hali hiyo, ingawa gharama za utoaji mizigo kati ya Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Durban zinalingana, lakini mfanyabiashara akipitisha mzigo Afrika Kusini, atatakiwa kubadilisha Dola ili apate Rand ya kulipa gharama hizo; na kwa kuwa RandT imeporomoka thamani, atatumia Dola chache kuliko ilivyo kwa Tanzania.
Mizigo yapungua Bandari ya Dar
Majibu mepesi kwa maswali magumu. Huyu Waziri inatakiwa Rais amruhusu asafiri nje ya nchi kwa sababu nasikia kusafiri ni mpaka upate kibali, halafu anitafute tuambatane mpaka mombasa, tukae Siku 3 kwa gharama zangu. Akishaona kinachoendelea hapa, Nina imani atomba msamaha kwa wananchi kwa hii kauli yake isiyo na mashiko kabisa.Waziri Wa FEdha Dr. Mpango ni mchapakazi mzuri...ila amshauri Rais bila woga...
Achukue facts za kweli bila siasa
Tatizo la VAT kwenye utalii ni short notice...Watalii walishapanga budget zao, walishalipia trip/safari zao kuanzia June Mpaka December.....So kuongeza VAT ghafla ni kuwaambia watafute pesa zingine. Destination must be Faithful....
VAT italipwa vizuri sana, ila VAT isogezwe mbele ianze at least January 2017
Tour Operator and Travel Agents hawapingi kulipa VAT, kwanza mlipaji wa VAT ni mtalii sio Kampuni....
WaTanzania tuelewane kwenye hili..upotoshaji tuache...
Natabiri kuwa huyu waziri atakuwa wa pili kutumbuliwa .................!!![/QU
Haya mkuu yule viwanda bado?
anajaribu kutufanya sisi mambulula kama alivyojaribu kamishna mkuu wa TRA aliyesema VAT ni kodi inapolipwa na mfanyabiashara badala ya mlaji matokeo yake wakakimbia kipima joto ITVSasa mkuu Dr Mpango kama shida ni china mbona hata magari yanayotoka Japan nayo yamekauka ?
Mara oooh kuna watu wameficha sukari, mara bei elekez tsh. 2000 leo ukiwauliza la sukar vip unaletewa polisiLeo hakuna wakuhoji sukari kwanini imepanda bei na tulihakikishiwa malighafi hiyo itashuka bei hadi 1800! Ngoja tusubiri maana wao wamekuwa wazee wa kubadili gia hewani.