Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Ha ha ha ha hii inanifanya nimkumbuke Chemical Ally yule waziri wa Saddam Hussein
 
Waziri Wa FEdha Dr. Mpango ni mchapakazi mzuri...ila amshauri Rais bila woga...

Achukue facts za kweli bila siasa

Tatizo la VAT kwenye utalii ni short notice...Watalii walishapanga budget zao, walishalipia trip/safari zao kuanzia June Mpaka December.....So kuongeza VAT ghafla ni kuwaambia watafute pesa zingine. Destination must be Faithful....

VAT italipwa vizuri sana, ila VAT isogezwe mbele ianze at least January 2017

Tour Operator and Travel Agents hawapingi kulipa VAT, kwanza mlipaji wa VAT ni mtalii sio Kampuni....

WaTanzania tuelewane kwenye hili..upotoshaji tuache...
 
ile mizigo inayoshukia beila kwa inatokea nchi gani ?
 
Wakati mombasa wanakesha kwenye kazi yeye analeta soga tu,wakubali kuwa wamechemsha
 
Ukweli wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi, kama wameshindwa kufanya biashara hapa tanzania wapo huru kuondoka na kwenda kufunya nchi nyingine ambako watafanya ufisadi wao wa kutokulipa kodi.
Na wamesha wasikiliza tayari maana ukifika bandari ya mombasa huwezi kuamini kama kweli hayo maneno anayosema mpango yanasemwa na waziri,bandari imejaa meli kibao watu wapo busy na wanakusanya kodi kwa kwenda mbele, huku walipa kodi wakifurahia kulipa kodi kwa huduma wanazo zipata
 
Magufuli kiboko nowdays watu wanafuatilia mizigo inayoingia bandarini na kodi inayopaswa kulipa.Awamu iliyopita umuhimu wa bandari haukujulikana hadi Kagame akatushangaa sana
Sasa hivi bandarini labda wafungue club, maana wafanyakazi wanashinda bila kazi
 
hahahaha anajichimbia kaburi taratibu badala ya kutia maji mwenzie akinyolewa yeye mbabe haya kila la heri yake mchumi yeye.nchi haiendeshwi kwa emotions bali hekima na usikivu.
Akitumbuliwa atajiunga na Act maana ndiyo chama cha kwetu
 
Sawa soko la China na uchumi wa china umeyunga na Tanzania ni Mdau mkubwa kibiashara na China lakn swali Je ina maana mizigo yooote iliyokuwa inashukua hapo bandarini inatokea China? Na Je kama TZ ni Mdau mkubwa wa kibiashara na China vp hizo nchi ambazo c Mdau wa kibiashara na China zenyewe zimekuwaje?
 
Wew unahis tatizo ni nin
 

Mimi nijuavyo watu wanlaalmika mzigo ya kutoka nchi jirani na sio ya kutoka nje. hasa kabisa ni SHABA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…