Dkt. Mpango ashangazwa kuagiza mapanga na vifungashia, na SIDO wapo kwa miaka 48

Yeye alikuwa waziri wa fedha.
Bajeti yote ilipita kwake..
Anashangaa kama katokea nje ya nchi kaja leo?
Si kama Magu alipokuja na kujidai alikuwa Indonesia...anashangaa kila kitu wakati alikuwa waziri na mbunge for 20 years.
 
Yaani hata yeboyebo za plastiki pia zinatoka china?!
Hivi china kweli hahusiki hapa kwenye serikali kuweka sera mbovu za viwanda?
Plastic pia jamaniiii! Wakati zamani viwanda kibao vya plastick
Sio bure na china huyuuu mmhhh
Niliona kuna yeboyebo zinatoka Malawi.... Zimeandikwa Made in Malawi. . ... Made in Tanzania sijakutana nazo bado.
 
Back
Top Bottom