Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Kweli tumbo ni mfalme, yaani unawatosa wenzako sababu ya lishe aka kushiba...laah
Chezea kufungwa kazidiwa ujasiri na wazee wa escrow wamemkataa shetani na matendo yake wamegoma msujudia kiumbe aliyezaliwa na mwanamke ambae siku zake si nyingi za kuishi duniani ufa sawa na viumbe wengine. Wakusujidiwa ni Yehova pekee,ukiwa na pesa halafu ushakula ujana jela rahaa tu at the end utatoka tu
 
Ndugu zangu,

Nimejikuta nacheka, nikajiuliaza nini maana ya maneno ''no hate no fear'' nikagundua huenda Mashinji ndiye mtunzi wa slogan ya ''No hate no fear''. Hofu ya Mbowe kwa mashinji inatokana na nini?

Kuna haja ya CHADEMA kutengeneza slogan mpya sababu hii ya 'no hate no fear' hamuiamini baada ya Mashinji kuondoka?

Kwanini anamkwepa Mashinji?
What a senseless thread!Full of romances with no observable facts.This is silly!
 
Uwepo wao mahakamani isivyo halali ndiyo vita mbaya zaidi.Hats hivyi hawa Makamanda ni watu shupavu sana isipokuwa Mashinji amelegea.CCM wanayafanya haya yote ili viongozi hawa wa upinzani wakate tamaa na Ku give up. Hicho ndiyo kiini cha hizi kesi kama hufahamu.
 
Mnataka mfanye sias vita... Nyie chadema na ccm mnaweza uana kisa hayo mavyama... Kwa wenzetu mbona haipo hivyo... Africa tumerogwa sio bure.
Uchawi unaanzia kwa mkubwa wa nchi anapokataa maridhiano, anapotumia nguvu za dola kukandamiza upinzania, anapokataa tume uru, anapozuia mikutano, anapotumia usalama wa taifa na polisi
 
Mzukulu,
Nyerere Alikataa kumpa mkono ameen kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za wenziwe

Jee yeye unasemaje ?
View attachment 1367862

Namjua Amin na simjui huyo Ameen wako. Halafu hivi kama Akili zako zinakutosha sawasawa Makosa ya Dikteta Amin wa Uganda yanafanana na Maamuzi ya Dkt. Mashinji Kuhama kutoka CHADEMA na kwenda CCM? Yaani hata hili nalo linahitaji Upeo mkubwa Kulielewa na Kulitofautisha hadi uniulize? Nimekushangaa mno. Hayati Baba wa TaifaMwalimu Nyerere aliukataa Mkono wa Amin kutokana na Ukatili wake hasa wa Kimauwaji na Kutuchokoza Watanzania je, unaweza Kunipa sababu ya Kiushawishi ambayo itanifanya nikuelewe juu ya sababu hasa iliyomfanya Mbunge Halima Mdee aukatae mkono wa Dkt. Mashinji Mahakamani leo?
 
Mdee mbaka aolewe au aoe ndipo akiliyake Itatulia kwasasa yupo kwenye foolish age. Tuta shuhudia mambo mengi ya ajabu kutoka kwake Ni kama Fatuma Karume ukiwa huna mahusiano yanayo eleweka akili inakosa utulivu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu usiwashambulie Watu kwa sababu ya Hisia zako tu za kijinga ,sio kila Mtu anaekuja hapa Duniani aolewe au kuoa.Usikariri Maisha.Wapo walio olewa na kupata Watoto lakini hawajatulia kama ambao hawako ktk Hali hiyo.
 
Mdehe ajafanya fair,karma itamuazibu Halima,bado wote wana miaka chini ya 50,bado wote vi vijana,wana nafasi ya kuonana tena kwenye nyazifa mbali mbali,iwe Mdehe ama Mashinji
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.

Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.

Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.

Credit :Mwananchi official

Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
View attachment 1368151

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom