Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,412
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.

Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.

Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.

Credit :Mwananchi official

Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
Your browser is not able to display this video.
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.

Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.

Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.
Credit :Mwananchi official
Your browser is not able to display this video.
 
Leo tarehe 24 kesi kutunga inayowakabili viongozi wa Chadema inaendelea kwenye Mahakama ya Kisutu , ambapo mmoja wa watuhumiwa aliyehamia ccm ndugu Mashinji amehudhuria
Your browser is not able to display this video.
 
inahitaji roho ya chuma kwa mtu kama yeye kuwa karibu nao. Mdee amefanya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…