Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.
Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.
Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.
Credit :Mwananchi official
Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM