CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Nilishawatolea huu mfano,kuwa ndo itakavyokuwa tar 28.Mtaongea yote safari hii lkn mwisho wenu ni tar 28/10. Hamtaamini macho na masikio yenu.
Kumbukeni hata wakati ule TAL akigombea Uenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanzania (Tanganyika Law Society) alikumbuna na figisu nyingi sana. Lkn baada ya kura kupigwa ilionekana wazi kuwa kulingana na idadi ya kura alizopata ni kwamba hata wale Wanasheria wa upande wa pili walimpigia kura Mh Lissu.