Dkt. Magufuli na Samia Suluhu watua Zanzibar

Lini iliandikwa kuna zamu ya kuachiana urais?UKAWA mnachoweza ni kuachiana hiyo nafasi ya mgombea urais, ata akina Mziray na bila shaka watagombea.

Lakin Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari kila mtu anamjua.Ndio maana siwashangai mnavyoanza sasa ndani ya UKAWA kugombania fito maana matokeo ya uchaguzi ujao ni juu ya ruzuku mtakazopata na wabunge wa viti maalum na sio urais wala uwaziri.

Nahilo ndilo tatizo kuu
 
Namuomba mungu wetu wa neema..akujalie uhai ili uone ukawa wanavyoingia ikulu mkuu...sema "amin"...
 
kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi na sio kulinda wanasiasa.

Hao sio JWTZ,Jeshi hawana combat hizo. Hao bila shaka watakuwa ni vikosi vya Zanzibar. LAKINI KWA WANAVYOPENDA SIFA WANAJIFANANISHA NA "WAJEDA" HAHAHAHAHA!!!
 
Tutapenda kuona pia wagombea wengine pia wa vyama vya upinzani wakiruhusiwa kufanya maandamano yasiyo rasmi kama inavyotokea sasa huku wakipewa ulinzi kama huu tena bila shida.
 
Mkuu hujazoea tuu kuona utwana wa hawa CCM.
Achilia mbali huo ulinzi unao uona kwa macho yako, hapo kuna vishetani vidogo vidogo vinaimalisha ulinzi wa mteule. Usione Lowassa kakaaa kimya kwani hadi wale waganga 10 wamemkata na kuhamia kwa mteule na ndo hao wana control hivyo vijini!!
 
Namuomba mungu wetu wa neema..akujalie uhai ili uone ukawa wanavyoingia ikulu mkuu...sema "amin"...

Haa ha ha uzuri unajua kuwa watakapoingia madarakani mie sitakuwepo, maana itakuwa kwenye ndoto zako za usiku.Utakapoamka utamkuta Rais wa awamu ya tano Dr John Pombe Magufuli
 
Mkuu hujazoea tuu kuona utwana wa hawa CCM.
Achilia mbali huo ulinzi unao uona kwa macho yako, hapo kuna vishetani vidogo vidogo vinaimalisha ulinzi wa mteule. Usione Lowassa kakaaa kimya kwani hadi wale waganga 10 wamemkata na kuhamia kwa mteule na ndo hao wana control hivyo vijini!!
Nataka kuwakumbusha tu kuwa itakapofika zamu ya wengine basi wawe wavumilivu kwa mbwembwe na maandamano maana sasa wanaona safi tu ila ikija kwa wengine utasikia INTELIJENSIA yetu inaonesha haiwezekani kufanya maandamano.
 
Nawaambieni Magufuliii hafai hafaiiii hata kidogooo
SINA IMANI NA UKAWA
 
kwanini na vyama vingine visianze kuwatambulisha wagombea wao?????????????
 
Hapa ndipo unapoweza kujua kuwa bado tupo kwenye mfumo wa chama kimoja. Dr. slaa au prof.Lipumba anaweza kupewa askari kama magufuri kwenye msafara wake? mambo kama haya yanaashiria kuwa demokrasia tunayoisikia ni maneno matupu.
 
Back
Top Bottom