Fikiria hivi!wee ikashi, pole sana - si kosa lako bali ni maguu-fool ambaye hana feelings za maisha ya walalahoi kwa kuwa yeye kazoea kukeremua tu (ku-cram) formula za hisabati na kemia. huyu mtu maguu-fool hafai kabisa kuwa rais, kama unavyosema na kuthibitisha kuwa kawadhalilisha si wana-kigamboni pekee, bali watanzania wooote hohehahe na walio wanyonge wasio na unasaba/undugu na mafisadi wa sisyemu.
huyu kima akichaguliwa ataendeleza dharau zake kwa kejeli huku akisema mlininukuu vibaya pindi atakapoulizwa utekelezaji wa ahadi zake. kikao cha dharura.
hah hah haa, ... eti saddam hussein alikuwa rais wa kuwait, huh! akichaguliwa, atapeleka maji central tanzania kwa ndege. sijui kama wanafunzi wa huyu bwana bado hawajachanfanya makemikoo huko waliko, ... duuuh!
maskini wa mungu, huyu kichekesho cha mwaka ameproove kuwa masysyemu hayana election manifesto, na ile waliyoizindua ilikuwa geresha tu. si unaona sasa kila mkutano wa kampeni zake anahubiri na kuungurumisha sera za UKAWA na Lowassa - amesahau kabisa takataka yao. aibu! hana hata mishipa ya aibu huyu, na timu yake ya 32, wanakopi kila kitu inkludingi logo and slogans - ay ya ya ya ya yaaaaaaaaah! hii inadhibitisha kuwa kipaumbele nchini tz ni ilimu, ilimu, na ilimu kwa kuwa masisyemu yameshindwa vibaya sana katika hili.
usistaajabu hakuna herufi kubwa mwanzini mwa sentensi/paragraph - ni ilimu ya sysyemu imepelekea hayo yote.
mtanzania, una nafasi muhimu sana ya kuiokoa na kuikomboa nchi yako hapo oktoba 25, 2015:
CHAGUA MABADILIKO
CHAGUA LOWASSA
CHAGUA UKAWA
Watu kuvuka ktk feri wakilipia 200 ni kudharau maskini!
Lakini mgombea kuhonga viongozi wa siasa na wa kiroho, lakini anaomba watu hao maskini wamchangie katika kampeni zake hizo chafu huko si kudharau uwezo wa ufikiri wa mtu !maskini!
Kigamboni wanapaswa kulipia gharama za kivuko kama hawataki, mbizi kweli iwahusu! Hatuna sababu ya wananchi kulelewa kama mayai!