Dkt Magufuli kugwaya kwenda Kigamboni?

Dkt Magufuli kugwaya kwenda Kigamboni?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,987
Taarifa zilizonaswa toka kampeni team ya Magufuli zinasema kuna uwezekano mkubwa kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli hatakwenda jimbo la Kigamboni, Kutokana na hofu aliyonayo.

Taarifa za ki-inteligensia zimebaini kuwa mgombea huyo atakutana na upinzani mkubwa kwa wana-kigamboni walio wengi ambao walishaapa kutokumuunga mkono kutokana na dharau aliyowaonesha.

Kauli ya JEURI na KIBURI ya Dkt Magufuli aliyotoa kwa wana-kigamboni walipokuwa wakipinga ongezeko kubwa la nauli ya kivuko, ndio sababu kubwa ya kisasi wanakigamboni hao walio nacho dhidi ya Magufuli.

Dkt Magufuli alidaiwa kuwajibu wanakigamboni hao kuwa
"ASIYE NA NAULI YA KUPANDA KIVUKO, APIGE MBIZI".

Kwa sababu hiyo Magufuli ana hofia kuwa kufanya kampeni huko kunaweza kuathiri sana taswira yake na chama chake kuelekea uchaguzi mkuu hapo october.
 
Inteligensia ya wapi hiyo. Wewe ndo unaeanzisha ugomvi na ujiandae kuahitakiwa.
 
Si Kigamboni tu, Makufuli na lichama lake hawatakiwi kurudi Ikulu tena. Tumechoka!
 
Mimi ni mwanakigamboni pure, namsubiri magufuli apige mbizi kufuata kura yangu akishindwa kufanya hivo basi hafai kuongoza taifa kwa maana kiongoz bora ni yule anayeelekeza kwa vitendo so anioneshe namna ya kupiga mbizi walau anishawishi kumpigia kura
 
Taarifa zilizonaswa toka kampeni team ya Magufuli zinasema kuna uwezekano mkubwa kuwa Mgombea wa CCM Dkt Magufuli hatakwenda jimbo la Kigamboni, Kutokana na hofu aliyonayo.

Taarifa za ki-inteligensia zimebaini kuwa mgombea huyo atakutana na upinzani mkubwa kwa wana-kigamboni walio wengi ambao walishaapa kutokumuunga mkono kutokana na dharau aliyowaonesha.

Kauli ya JEURI na KIBURI ya Dkt Magufuli aliyotoa kwa wana-kigamboni walipokuwa wakipinga ongezeko kubwa la nauli ya kivuko, ndio sababu kubwa ya kisasi wanakigamboni hao walio nacho dhidi ya Magufuli.

Dkt Magufuli alidaiwa kuwajibu wanakigamboni hao kuwa
"ASIYE NA NAULI YA KUPANDA KIVUKO, APIGE MBIZI".

Kwa sababu hiyo Magufuli ana hofia kuwa kufanya kampeni huko kunaweza kuathiri sana taswira yake na chama chake kuelekea uchaguzi mkuu hapo october.

Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!
 
Kule akikanyaga tu hata campaign za Ndugulile zinaingia mchanga.
 
Shilingi 200 ndo nauli kubwa?
 
Magufuli haogopi kufanya kampeni ndani ya tz acheni uzushi
 
Muitunze hii post na magufuli atatia timu kama kawaida na nyomi lake mtashangaa. Hii ni Tanzania na yeye anagombea nafasi ya kua Raisi wa Tanzania na si Tanzania bila kigamboni. Dawa pekee ya uwongo ni wakati. subirini tu majibu yake mtayapata na mtanywea kama vifaranga vilivyomwagiwa maji
 
Ndio siasa hiyo mnama! Sentens moja uliotamka ukiwa umevimbirwa kwa kibur cha madaraka inakugharimu mazima!aende akajisafishe huo uwozo akifanikiwa tunamuomuesha na lile li mel la wavietnam walodakwa na jodar atuambie nan atalipa ule upuuz wake
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!
 
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!

Hiyo ndojeuli yenu haya bhana tutus tu manake ww mwnzt unafrahia sawa. Mwambieni aje tunamsblia aje nawatu wakusomba kama kawaida yenu waje washangilie. Kesho tuko na rais lowass kigamboni.
 
Uzi huu haukuletwa na wanakigamboni bali umeletwa na mtu mwenye hisia dhaifu zenye lengo la kuwadhakilisha wana kigambini. Hivi kigamboni wanaishi walala hoi anbao hawawezi kumudu sh. 200 ? Mbona wana kigamboni wanamudu simu za bei mbaya zisizoishiwa salio. Mbona kitu chochote kinachosemwa na kikijulikana wazi kuwa hakiwezekani hugeuka kuwa utani? Ni mwanakigamboni gani aliyejaribu kupiga mbizi kufuatia tamko la Magufuli? Watanzania tuache kujitoa ufahamu. Tujiongeze!
UKAWA wataenda Kigamboni kwa kutumia miundombinu aliyojenga Magufuli
 
Muitunze hii post na magufuli atatia timu kama kawaida na nyomi lake mtashangaa. Hii ni Tanzania na yeye anagombea nafasi ya kua Raisi wa Tanzania na si Tanzania bila kigamboni. Dawa pekee ya uwongo ni wakati. subirini tu majibu yake mtayapata na mtanywea kama vifaranga vilivyomwagiwa maji
Kwa Dar mamluki wa kujaza mikutano ya kampeni wanaweza kusombwa wakati wo wote na kutoka pahali po pote katika jiji na viunga vyake. Na hii kazi maficiem wanaijua vizuri sana. Lakini atakumbana na mabango ya wanakigamboni katika umati huo huo wa nyomi ya kusombwa kwa malori.
 
Back
Top Bottom