Hali gani, Mimi Niko nje kabisa ya wigo leo ndiyo nafungua simuNi muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisha tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa je hei alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Nimekutumia clip iangalieHali gani, Mimi Niko nje kabisa ya wigo leo ndiyo nafungua simu
Asante nimeumwa now it is about two weeks hoi bin taabanPole kaka.
AsanteNimekutumia clip iangalie
Endelea kubaki hapahapa utaelewa tuSana Tena Sana. Afya kidogo imenizingua. Sijui Nini kinaendelea
Jf kiboko ya wachawi hapa tz , wewe ulianzisha jf upo na makao mazuri siku yako ikifika, jf ni ukweli na uhakikaAliwahi kuwa Mkufunzi Chuo kikuu cha DSM (CoeT) baadaye mtendaji Mkuu wa Baraza la Ujenzi la Taifa.
Mwaka 2016 aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mawasiliano iliyoko Wizara ya Ujenzi. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Mbunge na hatimaye Waziri wa Ujenzi.
Inaonekana wana mahusiano mazuri ya kikazi na Mhe. JPM
Ni mwenyeji wa Mkoa wa Mara
pole mkuu , ni hizi hizi changamoto ?Asante nimeumwa now it is about two weeks hoi bin taaban
So you don't know!!!?Kiwingu kipi ? Kwani Kuna Nini? She is a VP
Ngoja nami niweke kambiEndelea kubaki hapahapa utaelewa tu
Doctors Wànasema hawana vipimo lkn wamenipa kozi ya changamotopole mkuu , ni hizi hizi changamoto ?
AiseeeSo you don't know!!!?
Ashes to ashes,dust to dust
In ash we came in ash we shall return..
I speak no more.
Nimekupata vemaSo you don't know!!!?
Ashes to ashes,dust to dust
In ash we came in ash we shall return..
I speak no more.
Ni Engineer mzuri sana. Waziri sasa. Kafundisha FOE (CoET) kwa muda mrefu.Ninachofahamu ni alisoma Moshi Tech kipindi hiko kisha kusoma FTC pale DIT then degree UDSM.
Chamuriho alikuja kuwa lecturer katika Department ya Structural engineering pale Udsm Coet, Kabla ya kuja kuwa Permanent Secretary wa Wizara ya Ujenzi.
I'm Honoured nilikuwa naye Mlimani August 2020 tukabadilishana mawili matatu.
Shortly: Anapenda sana Shule.
Twende kazi sasa kumjua huyu dizaini ya MfugaleNimekupata vema
Shetani hana rafiki, acha na yeye aisome namba tu.Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisha tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Haki yake kivip wakati yeye bado ni Vp?!Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisha tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Ni injinia mzuri kwa vile anafundisha vizuri!!Ni Engineer mzuri sana. Waziri sasa. Kafundisha FOE (CoET) kwa muda mrefu.