Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Tunataka uhusika wake na VPNi mjita anatokea either BUTIAMA au MUSOMA VIJIJINI na alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi-over.
Shukrani sana mkuuNinachofahamu ni alisoma Moshi Tech kipindi hiko kisha kusoma FTC pale DIT then degree UDSM..
Speculation zipi ndugu statesmanSpeculations....
Ni mjita anatokea either BUTIAMA au MUSOMA VIJIJINI na alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi-over.
Sana Tena Sana. Afya kidogo imenizingua. Sijui Nini kinaendelea[emoji38][emoji38][emoji38] Mkuu watu wako mbele yako kilometa nyingi sana !
Pole kaka.Sana Tena Sana. Afya kidogo imenizingua. Sijui Nini kinaendelea
Kaacha paper yake angekua Professor, kaitupiria mbaliNinachofahamu ni alisoma Moshi Tech kipindi hiko kisha kusoma FTC pale DIT then degree UDSM....