Dkt Kitila Mkumbo apewa makavu huko tweeter

ndugu.. kuna clip inasambaa mitandaoni kuhusu maoini yake kabla ya kuwa raisi.. alizungumza kabisa kama angekuwa yeye ni rais mchanga usingesafirishwa nje,, naamini umeshaisikia maana ni ya zamani sana. alikuwa akipiga story na akina kitwanga.

na sasa anasimamia mawazo yake yale ya siku ile. ulitaka afanyen nini wakati hajawahi kuwa waziri wa nishati na madini?
CCM PAMOJA NA UVCCM WALIPIGA MAKOFI SANA PINDI MIKATABA HII INA SAINIWA NA LEO TENA CCM NA UVCCM WANAPIGA TENA MAKOFI.....IVI INA KUAJE HAPO
 
Phd za hawa jamaa nikichekesho kwann wanakubali kushikiwa akili na kuwa mayuda kwa vipande vya fedha
 
Makavu gani hapo sasa. Au jamaa katangaza ujinga na wivu na majungu. So kwenu hakuna hoja tofauti mpka zifanane. Kwanini Watu kama nyie mnateseka sana na JPM na Msiwe na uchungu na nchi. Mbona mnakuwa mnatetea sna a maovu kwa kisingizio kodi ya wananchi Kwanini msione political will na inayobaki tujiongeze. Wakati wa scandal ya Richmond. Hawa mawakili wenye uchungu mbona hawakusimamia kucha kibinafsi kutetea nchi. Ila hoja binafsi kwa RC wa Dar tu. Embu wabongo tuache upumbavu. Stupid
Can't you see the dilemma? Mtu aliyekuwa mpinzani sasa amegeuka Msemaji wa kambi ya CCM kisa tu kapewa cheo? Mchukueni pandikizi wenu aliyekuwa amejibanza upinzani
 
47f65b5a7a4499acbc82d54166219309.jpg
we jizi kosa la mkumbo ni nini hapo??

mmekamatwa, mnahaha, au unadhani wote wajinga humu?

mama yako ana hasara, no wonder mko kumi kila mmoja na baba yake
 
Hivi Tume ile iliyomuondoa Mhongo haijasema chochote kuhusu wanasheria waserekali na nakuvunja mikataba ile au ndio kusema mpaka 99yrs of Contracts
 
Atakiwa na card ya ccm tayari hy.... miafrika ndo Tulivo.... hawez kusimamia anacho kiamini sbb ya tumbo...na ndo maana watawala wanawachezea hata uwe prof au Dr.... ni watu njala njala nyie wasomi wetu....
Kuna mwingine na uprof wote anakwenda kulala pale ofisini CUF Buguruni sasa hivi hafla zote za ikulu yumo na mwenzake wa nji hii utadhani panya buku. Kweli huku bongo maprof wengi ni majina tu lakini walipaswa kuitwa maprof tumbo. Hovyooo!
 
Sawa Dr Wa psychology. Huenda wewe in muumini wa ile imani ya ..... born again! But mkulu alikuwepo humor jikoni for almost 20 years! Ina maana hakuyaona wala kuyasikia haya anayoyafanyia Leo?
Uzalendo unazaliwa nao na hausomewi. Ulitakiwa kuyaishi yale maneno yako ya kipindi kile ulipokuwa huku ulikotuacha. Na nilifikiri mfanano wetu wa ranging na maumbo unatufanya tufikiri sawa kumbe nilikosea. Haya Dr endelea kutugeuka kwa kuamua kwako kulivunja lako jicho ili ufanane na wenye chongo kwani upo sebuleni kwao.
Mahanga,masha, sumaye na Lowassa walikuwepo pia mkuu.
 
Can't you see the dilemma? Mtu aliyekuwa mpinzani sasa amegeuka Msemaji wa kambi ya CCM kisa tu kapewa cheo? Mchukueni pandikizi wenu aliyekuwa amejibanza upinzani

mkuu ona aibu, au angalau uwe na akili japo za kuvukia barabara tu

swala la Magufuli sio la CCM, na kila mtu kalifurahia

hapo hajawa msemaji wa CCM

wivu, chuki na ujinga wako umepofusha macho yako....

pole lakini
 
Wewe ndio una akili? Tunamzungumzia Prof. Kitila kwa ujumla na undumilakuwili wake. Usichukulie mambo kijuu juu, huyu mtu alikuwa kwenye mission ya kuvuruga upinzani kwa muda mrefu had I aliposhtukiwa akafukuzwa.
 
CCM PAMOJA NA UVCCM WALIPIGA MAKOFI SANA PINDI MIKATABA HII INA SAINIWA NA LEO TENA CCM NA UVCCM WANAPIGA TENA MAKOFI.....IVI INA KUAJE HAPO
ndo ushangae sasa wanasiasa wetu walivyo... upande wa bavicha nao walilaani kuibiwa madini katika mchanga, leo hii katokea mtu anazuia tusiibiwe wanamind tena.
 
Makavu gani hapo sasa. Au jamaa katangaza ujinga na wivu na majungu. So kwenu hakuna hoja tofauti mpka zifanane. Kwanini Watu kama nyie mnateseka sana na JPM na Msiwe na uchungu na nchi. Mbona mnakuwa mnatetea sna a maovu kwa kisingizio kodi ya wananchi Kwanini msione political will na inayobaki tujiongeze. Wakati wa scandal ya Richmond. Hawa mawakili wenye uchungu mbona hawakusimamia kucha kibinafsi kutetea nchi. Ila hoja binafsi kwa RC wa Dar tu. Embu wabongo tuache upumbavu. Stupid
Nafasi aloacha Muwongo ni moja tu jamani, kwanini mtoane roho? Au ndo kila mtu anaonesha umahiri wake. Mtachizika kwa style hii. Mtu aya nzima matusi? Tusi hilohilo unaliandika kwa kiswahili na kiingereza? Very tactical....
 
Back
Top Bottom