Dkt Kitila Mkumbo apewa makavu huko tweeter

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
47f65b5a7a4499acbc82d54166219309.jpg
 
Makavu gani hapo sasa. Au jamaa katangaza ujinga na wivu na majungu. So kwenu hakuna hoja tofauti mpka zifanane. Kwanini Watu kama nyie mnateseka sana na JPM na Msiwe na uchungu na nchi. Mbona mnakuwa mnatetea sna a maovu kwa kisingizio kodi ya wananchi Kwanini msione political will na inayobaki tujiongeze. Wakati wa scandal ya Richmond. Hawa mawakili wenye uchungu mbona hawakusimamia kucha kibinafsi kutetea nchi. Ila hoja binafsi kwa RC wa Dar tu. Embu wabongo tuache upumbavu. Stupid
 
Sawa Dr Wa psychology. Huenda wewe in muumini wa ile imani ya ..... born again! But mkulu alikuwepo humor jikoni for almost 20 years! Ina maana hakuyaona wala kuyasikia haya anayoyafanyia Leo?
Uzalendo unazaliwa nao na hausomewi. Ulitakiwa kuyaishi yale maneno yako ya kipindi kile ulipokuwa huku ulikotuacha. Na nilifikiri mfanano wetu wa ranging na maumbo unatufanya tufikiri sawa kumbe nilikosea. Haya Dr endelea kutugeuka kwa kuamua kwako kulivunja lako jicho ili ufanane na wenye chongo kwani upo sebuleni kwao.
 
ndugu.. kuna clip inasambaa mitandaoni kuhusu maoini yake kabla ya kuwa raisi.. alizungumza kabisa kama angekuwa yeye ni rais mchanga usingesafirishwa nje,, naamini umeshaisikia maana ni ya zamani sana. alikuwa akipiga story na akina kitwanga.

na sasa anasimamia mawazo yake yale ya siku ile. ulitaka afanyen nini wakati hajawahi kuwa waziri wa nishati na madini?
 
Back
Top Bottom