Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!


Kwenye ulimwengu wa kijasusi kuna mission ambazo hufanyika bila kuishirikisha serikali na hutoa report baadae baada ya kukamilisha mission hiyo. Hii ni kwa sababu vyombo vya ujasusi vipo kwa ajili ya kulinda maslai ya nchi na sio kikundi chochote. Hivyo walitakiwa wasabottage hii kitu hata ATCL wenyewe bila kujua wangekuja kujua baadae. TISS ya sasa ni dhaifu period
 
Kama mmeshindwa kumkamata kigogo hadi leo, jamaa anawatesa hadi najisikia aibu, sembuse iwe mleta mada.

Mtapoambiwa ukweli jaribuni kukubali.
 
Mm nataka unieleweshe kidogo kwani TISS inaweza kumshauri RAIS na akakubaliana nao kwa mambo yote?
 
Mkuu umemaliza.
 
Mkuu umenena yote ya busara. Hii serikali imiendelea kumuacha Musiba kuwa mzungumzaji wao tutakoenda hakutatupatia mwanga bali giza
 
Kwa hiyo TISS ya Kitine na Kombe haikuwa na hao vijana wa UVCCM?. Mabosi wa hao vijana wa CCM hawakuwa ni wana-CCM?.

Unao ujumbe mzuri na wenye kueleweka, umeharibu mwishoni ulipoamua kuingiza masuala ya kisiasa.
 
Tatizo la serikali ya Awamu ya Tano pamoja na watendaji wake ni kwamba kumejaa vijana wanafiki kama Makonda na wenye njaa. Kazi ni kusifia tu lakini kuna siku wataamka kama wafuasi wa Trump wanavyorudiwa na akili siku za hivi karibuni. Jamaa ukisikiliza wakitoa hotuba hujaa majina ya Rais na sifa zaidi ya wanachokizungumza
 
Idara Kama CIA, Mossad,MI5, na FSB wangemzima Bashite bila Rais kujua,TISS haina magwiji wa ujasusi ni vilaza watupu wamejaa humo.
Enzi za Nyerere TISS, ilikuwa na magwiji wa ujasusi kupindukia
 
Tusihukumu jamani... Hawa jamaa (TISS) wanafanya kazi ipasavyo na wanatimiza wajibu wao wa kuishauri serikali. Hakuna sababu ya kuilamu maana kufata ushauri ni hiari yako dhidi ya maamuzi unayotaka kuyafanya
Hata utekaji ni kazi ya kushauri.
 
Ungekaa kimya kuliko kuandika pumba hii
 
Mnajua mnapoleta mawazo yenu nyie mnao ijua hiyo TISS msituone wote wapumbavu
Unasema Kipilimba hana shida halafu wakati huo huo kuna wafanyakazi wake kama hao Nyaulingo au sijui Bob Msalika ambao hawamskililzi na wako loyal sijui kwa bashite ?
Mpaka hapa hujaona tatizo la Kipilimba ?
Japo kuna fununu Kipilimba alitaka kubwaga manyanga ndio maana naibu wake akapewa demotion na kutupwa kuwa RAS huko Tabora kama hili ni kweli basi namsifu Kipilimba .
Msalika alikuwa anafanya nini mpaka akaingia kwenye mzozo na Boss wake hilo wanalijua wenyewe.

wengine wanasema kilicho mtoa Kasalika hapo ni report ya CAG

Bashite ni nani mpaka wafanyakazi wa idara wanaopaswa kuwa loyal kwa nchi badala ya kunguni yoyote yule wawe loyal kwake ?

Hivi hizo rogue elements huwa zinaondolewaje ? Badala ya kuziondoa mnakaa kimya bora liende tu kisa mtu analinda kibarua chake ,pale mlienda kwa ajili ya kibarua au mlikula kiapo cha utiifu kwa nchi hii ?

Mbona mnamkuza sana huyu jamaa zaidi ya umbea ana nguvu gani ya kuzuia TISS kutekeleza majukumu yake ? Idara ambayo hata Rais mwenyewe anaweza kushughulikiwa ikiwa anahatarisha usalama wa nchi leo mnasema hawafurukuti kwa Bashite ? Dah Tanzania yangu

Basi haina maana ya kuwa na Kipilimba ,hiyo idara apewe Bashite awe DG .
 
Basi hii taasisi ishakuwa kama alishabaab, kila mtu anafanya yake.
 
Comment yako iko nje ya mada husika
 
Nyinyi ndio hopeless kabisa mna uwezo wa kuattack individuals tu kama unavyodaia kuwa mkimtaka mtamfikia, sasa kama walijua na walishauri na bado mambo ya kaharibika wana umuhimu gani wakm kuwepo kwenye nafasi zao??

Tuna vijana hovyo sana nchii
 
Wewe ndio umeomgea point lakini hawa wapuuzi wengine wanajifanya wanaijua sana TIssccm hovyo.
 
hahaaaa sina comment
 
Ni bora CCM iondoke ,vinginevyo hatima ya Tanzania ni mbaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…