Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Nyote wawili mnazungumzia kitu kimoja.

Kwanini TISS 'inadeploy resources' kuwafikia Wapinzani wa CCM na wanaomsema JPM wakati inashindwa 'kudeploy resources' kulinda maslahi ya Taifa mpaka ndege inakamatwa Afrika Kusini?

Au unasema TISS walijua wakakaa kimya?
 
Enzi za Cold War tukiwa kama nchi yenye mfumo wa kijamaa na Nyerere kuwa tishio la nchi za magharibi, Ujerumani Mashariki walitoa mafunzo ya kijasusi kwa TISS. Tulitisha Sana
 

Duuu rejao uko hai!? Nilidhani ulishakufa siku nyingi!
 
Taasisi imara?? .... Uimara wa kumfikia mleta mada???......... hovyooooo kabisa.
 
Hilo deni la Steyn. Hata kwenye ripoti ya CAG ilikuwemo.

Kwa hiyo ni "ubabe na kiburi" ndicho kinachoimaliza serikali hii ya awamu ya tano
 
ingekuwa ni kiongozi wa upinzani ameandaa mkutano wa ndani wa kisiasa, tiss wangejua haraka sana.
Absolutely true

TISS ya nchi hii kwa sasa inafanya kazi kwa maslahi ya CCM.......

Leo inafanya kazi kwa kuangalia wapinzani wako wapi leo na wanafanya nini ili waweze kwenda sambaratisha mikutano yao

Eti leo hii hiyo TISS ikiwa na huyo Kivuruge wao, inawaangushia hilo saga la kukamatwa Airbus yetu na akina Marandu na Rais mstaafu wa Zanzibar!
 
Upinzani siyo kurudisha nyuma maendeleo ya nchi na taifa lako.
Kwa Tanzania upinzani inachofanya Ni kutafuta tu madaraka at any cost ikiwemo kukwamisha maendeleo ili serikali ionekane imeshindwa.Kwa stahili hizo Mungu hawezi wapa nchi na ndio maana 2015 aliwanyima uraisi was muungano na ule wa Zanzibar sababu aliwaona mbinu wanazotumia Ni za kishetani.Na Tundu Lisu aliwahi tamka wazi wakati Lowasa kajiunga alipobanwa kwa Nini wamempokea my waliyemwita fisadi Papa akasema wao chadema wako tayari kuungana hata na shetani mwenyewe Kama atawasaidia kushika nchi.Mungu akasikia alichokiongea na majibu kampa vizuri Sana Lisu Siku hizi hata kusali anasali
 
Kama mlishauri, mlishauri nini hadi kufikia hatua ndege yetu kukamatwa?
Au unataka kusema mlishauri Jiwe lakini akapuzia?
 
TISS ya leo imejaa vijana wa UVCCM, wasiojua lolote kuhusu intelligence wala miiko yake. Idara hii imegeuzwa kuwa ya kisiasa ili CCM itimize ndoto zake za alinacha za kutawala milele. Inashangaza sana, yaani Idara haikuweza hata kuzuia maandamano ya kuharibu Diplomasia yetu na SA.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Basi mleta mada yuko sahihi, TISS inaendeshwa kisiasa.
 
Muundo na majukumu yà chombo hiki ni kuwa loyal kwa viongoz wahuni wa CCM badala ya nchi,wako busy kufuatilia wakosoaj wa serikali hata km wañafanya mambo ya kijinga. They're trained to protect CCM anď their leaders and not national interest.
 

Wengine hatumjui Kapilimba lakini pia kufanya kazi na watu ambao hawakuelewi ni sawa na upo gerezani
 
Kwa hiyo hapa una confirm hiyo idara ni "Toothless dog " sasa kuna maana gani ya kuwepo kwa idara hiyo ? .

Ndio maana kunatakiwa kufanyike mageuzi ya hiyo idara ili kuendana na wakati uliopo badala ya kuishi enzi za cold war

Nafahamu hawana mandate ya kutekeleza zaidi ya kumshauri "SPONSOR"

Sasa watu wanapotoa mapendekezo ya kimageuzi mnaishia kuwatisha oh wakikutaka wanakupata sasa hivi ,Mleta mada zaidi ya kushauri amefanya kipi ambacho kinahatarisha national security mpaka idara i-mobilize resources kumtafuta ?

Kama wewe ndio aina ya watu waliopo kwenye hiyo idara hapo tumelamba garasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…