Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Inawezekana ana uweredi wa kazi ila tatizo ni kutojiamini.siyo huyo tu hata Mawaziri hawajiamini na maamuzi yao wanayoyatoa kutokana na hofu kutoka kwa boss wao.
 
Hivi kuna TISS ilikuwa mbovu kushinda ya awamu iliyopita?? wizi wote huo kuanzia kagoda mpaka escrow..tena hapa hapa ndani, Dr. Kipilimba amerithi TISS mbovu huwezi mlaumu kwa yanayotokea sasa.
Katika wizi huo wote unaoutaja kuna wizi uliofikia matilioni yaliyoibiwa awamu hii.
 
Well said. Hoja zinaposhindikana huanza kufikiria kwamba JKT ndiko wazalendo wanakopikwa.
 
Uimara wa TISS ndo Uimara wa Tanzania, na udhaifu wa TISS ndo udhaifu wa Tanzania.
TISS ingeitaarifu serikali basi, ndege isingeenda SA, na hivyo wangetafuta namna nyingine ya ku-solve tatizo.
Wewe mtu (mTanzania) inabidi nikuheshimu aiseee! Hii inakata hadi kwenye ini kabisa!
Walipofushwa na shughuli zao nyingi mpya za hapa hapa nyumbani, za kuwapoteza watu na kuwashughulikia wapinzani. Nguvu kubwa kwa sasa imeelekzwa huku. Hayo ya msingi kabisa unayoyazungumzia wewe yamewekwa pembeni. Kupanga ni kuchagua, utawala wa sasa umeamua kuwashughulikia raia wa ndani (kwanza). Haijulikani wa huko nje nani anayashughulikia, au tupo wazi kabisa kama ulivyoonyesha kwa mfano huo ulioutoa wa ndege.
Hapa ndipo nakutupia heshima zote mkuu. Yaani umezungumza kwa uchungu mkubwa mno unaotuingia sote tunaoipenda nchi kuliko mengi mengine yaliyomo dunia hii.

Nimalizie kwa kusema kwamba, pengine unamtupia lawama nyingi huyo mkurugenzi (lawama zinazostahili kabisa); ambaye pengine yeye kapewa majukumu hayo ayatimize kama yanavyotimizwa. Lawama zinamstahili kwa sababu kama asingeafiki kufuata tu maelekzo na kuondoka katika misingi ya utendaji wa taasisi hiyo, angeikataa kazi hiyo.

Nakuheshimu, kwa sababu umeweza pia kujua tatizo linatoka wapi. Taasisi zote zimekuwa mali ya Chama cha Mapinduzi, tena waziwazi na sio kwa kificho tena. Hili ni tatizo kubwa.
 
Kama Usalama wa Taifa aka TISS, walikuwa wanajua hizo allegations kwanini HAWAKUJITOKEZA na kusema hadharani kuwa WALIIAMBIA Serikali au WALIIONYA Serikali kuhusu jambo fulani..

Vyombo vyengine vya Usalama au Ujasusi tunasikia na kusoma magazetini kila kukicha kuwa zimeonya au kuzishtua balozi zao au nchi zao kuhusu jambo fulani..

Mfano juzi juzi tu CIA wameionya Balozi ya Marekani Tanzania kuwa inawezekana kuna jaribio la kigaidi Tanzania

Mkuu Labda na wewe ni mmoja wa hao TISS, kama ni mmoja wapo basi kuwa muungwana na kubali tu kuwa hakuna "Tanzania Internal Security"..

Ukweli TISS ni mkusanyiko wa vijana wa UVCcm ambao kazi yao ni KUWATEKA, KUWAUWA , hata KUWAPIGA risasi, Watanzania wasiokuwa na hatia, ambao wana MAWAZO, MUONO na FIKRA tafauti na zile za CCM..

Shame on you guys..
 
Jamii forum imejaa wajuaji koko na mmoja wapo ni wewe. Yaani TISS waitishe press conference waseme tuliiambia serikali lkn haikusikia?Wewe mjuzi koko unajua mfumo wa utendaji kazi wa TISS?Nimesoma desa la huyo jamaa alipofika pa Musiba eti TISS imdhibiti kisa tu anawataja akina Membe,Makamba na wenzie nkaona huyu mtu ni mmoja ya wajuaji koko wa Jamii forum. Nachoona JF kila mtu mjuaji, yuko kitengo, ana kazi nzuri au mtu mkubwa serikalini. Yaani mtu anaunga unga vistory na kujaza propaganda za anachojua watu flani wanataka kusikia then anajiita mjuzi wa mambo. Forum imegeuka uwanja wa propaganda na siasa UCHWARA.
 

kumbe ulikuwa na agenda ya kisiasa unazunguka wee shida ni Chama cha Mapinduzi pole sana

ebu tumpe nafasi afanye kazi yake
 
Tatizo watu wenye akili wamejiweka mbali na Uongonzi vilaza ndo wanaongoza
 
Hiiii inaitwa ndugu lawama kwani Dr Modestus Kipilimba ni mzawa wapi tuanzie na hapo kwanza
 
Izo resources wangeelekeza kwenye vitu vya msingi wangeheshimika, lakini sio hiki unachofikiria. Ila kama akili zao ni kama zako siajabu kwa haya yanayotokea, Maskini nchi yangu..
 
Namna unavyojibu haya mawazo yangu kuhusu hili shirika linaloitwa TISS, ki saikologia wewe inaonyesha ni mtu wa aina gani..,wewe ni mbumbumbu

Binafsi mimi naona wewe umeshindwa KUTHIBITISHA kuwa TISS haijui kazi yake..

KUIHADHARISHA serikali pamoja na Raia wake ni moja katika kazi za Usalama wa Taifa nchi husika.

Mashirika kama CIA, FBI, SCOTLAND YARD, MOSSAD, nk, yanafanya Hivyo kwa Serikali zao na Raia wao..

Matusi, kejeli katika majibu yako inaonyesha kuwa kichwa chako empty, hujui inachoongea

Inawezekana kuwa ni mmoja wapo wa wale vijana wa UVCCM walioajiriwa katika hii ofisi bila ya Kuwa na uelewa wa kazi yako,..

Unafiki kazi ya Usalama wa Taifa ni kuwabana Wapinzani tu..
 
Mtu juha kama huyu uwezo wa akili yake ni kudaka matukio anayosikia then anageuka loud speaker kuimba mara makinikia, sijui korosho...mambo ambayo hayana uzito wala effect kwa nchi, wewe jifunze kufanya vitu kwa njia halali, enzi za ujinga mliozoea hazitarudi tena, weka akili yako vzr, kupanua mdomo wako kulaumu hakutakusaidia chochote..fanya kazi, pimbi wewe!
 
Umeandika kwa uchungu sana mkurugenzi
 
Mkuu kwani wewe ni TISS ?
 
We jamaa ni jiniazi! TISS inatakiwa kuwa zaidi ya rais(Magufuli), TISS lazima iwe na Tanzania kwanza na sio CCM Kwanza!


Sikio la kufa halisikii dawa!
 
Suala la korosho kwako halina uzito wala effect? hivi wewe hao waliokuajiri walikuokota wapi???!!!
Hadi sasa mnadaiwa zaidi ya bilioni 150 na wakulima mmeshindwa kulipa? Ni familia ngapi zinateseka?
Unajua nchi imepoteza pesa za kigeni kiasi gani kwa uamuzi wa ki.senge mlioamua eti mtatuma jeshi likasombe korosho.
Tafuta ripoti ya B.O.T uone vituko vya huyo MEKO unayemuabudu, HALI NI MBAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…