Wewe tafuta pesa kwa njia halali, usibeze Tiss kwa kukuharibia shughuli zako haramu, kama akaunti ina pesa haramu ni wajibu wao kuifunga hata kama kufanya hivyo hakutaboresha uchumi!HAWEZI KUKUELEWA, AMEAHIDIWA UBUNGE WA KILOMBERO NA UWAZIRI JUU.
SASA HIVI IDARA INAONGOZWA NA WAP.UMBAVU KAMA KINA MUSIBA.
HATA ISSUE YA KOROSHO, SUKARI, MBAAZI N.K NI MATOKEO YA UDHAIFU MKUBWA NDANI YA IDARA. WANAWAZA SANA VYEO NA MATUMBO YAO BADALA YA KUSHAURI MAMBO YA UCHUMI N.K
WAO WANAAMINI KUBORESHA UCHUMI NI KUNYANG'ANYA WATU PESA KWENYE AKAUNTI ZAO NA KWENYE BUREAU DE CHANGE, AIBU SANA!.
Ushauri wako haulengi kuondoa chanzo cha tatizo, ubovu wa TISS haujaanzia kwa Dkt. Kipilimba, mbona wakati nchi inafisidiwa kupitia kagoda mpaka escrow hamkusema TISS wanafanya nini?? hii ishu ndogo ya ndege inalingana na aibu ya watu kugawana pesa za nchi kwenye mifuko tena mitaani?? benki ndio zilikuwa kichaka cha kuficha uhalifu na TISS wapo, kuna aibu kubwa kushinda hizo??Kipilimba amerithi TISS mbovu..laumu waliokuwepo kabla yake!Tatizo lenu mna uwezo mdogo mno wa kufikiria ,unajuaje Kama na mimi nimeiva ktk masuala ya intelligence?
Halafu ni wapi nimetukana zaidi ya kushauri?
TISS haiko imara ,ni kichaka cha CCM kufanya upumbavu wao.
Tungekuwa na TISS imara, hata uchumi ungekuwa imara, kwa sababu kazi za Taasisi Kama TISS ni kuhujumu mataifa mengine kwa maslahi ya nchi na siyo kuhujumu vyama vya siasa.
Ningeandika mazito ila namwonea huruma Melo watamtesa bure, hapa mbona nimeshauri tu, nikiweka nondo nzito hadi ikulu watapoteana.
Wewe kula ukalale huna unalojua, Tuachie sisi wanaume tuikosoe serikali.
kinachofanya kazi nchini ni ile intelligensia kali inayoweza kunusa kama wapinzani wanataka kuandamana ama wana vikao vya ndani...vinayoweza kuashiria uvunjifu wa amani.
Mkuu asante sana kwa hili, ila kwa sasa na vile tiss ya leo iko huwezi ilinganisha hata kidogo na mabigwa kaa CIA, M15, au the dreaded and most feared spy agency in the world, the israel MOSSAD.
Hapo miaka ya nyuma, TISS ilikuwa imara kabisa, hata huko Kenya tiss ilikuwa inaheshimiwa kabisa, lakini TISS ya leo imejaa wanafiki wa UVCCM, na wewe unajionea vile mambo inakwenda.
Hii TISS ya leo imekuwa kazi yake ni kuteka na kuua, haswa wapizani au watu ambao CCM haiwataki, kumbuka Zachariah kule Mara mkuu?
Hii tiss ya leo ni A BRANCH OF CCM PERIOD,
Nakubali mjeda uliyeiva.Kote kumeoza sitaki unafiki
Ndo uko sawa kabisa JKT inapaswa kurudi kisawasawa na mimi napendekeza vijana wakae kambini kwa miaka miwili.
Hii wanafanya Israeli na Korea Kusini na baadhi ya nchi zingine.
Hii itasaidia watu kushika moyo na kuonyesha wanaipenda nchi yao na wako tayari kuitumikia "no matter what".
Hata kama kuna kiongozi ambae na kasoro zake lakini linapokuja suala la ndege kuzuiwa nchi nyingine khasa ndege mpya watanzania wanaungana pamoja kutafakari juu ya mstakabali wa mali hiyo ya taifa.
Marekani pamoja na Donald Trump kufanya anayofanya lakini wakaikung'uta Syria kwa mabomu na sasa wanaishughulikia Iran na Korea Kaskazini, hiyo yote ni kwa "maslahi ya taifa" hilo.
Unafahamu hata nchi zilizoendelea likija jambo la "kwa maslahi ya taifa" wanageuka na kuunga mkono, hayo utaona kwenye televisheni, radio na magazaeti.
Masuala kama ya ugaidi na kutishia usalama wa mataifa yao wanaweza wakayaongelea kwa siku kadhaa masaa 24 na ukijaribu kubadilisha chennels habari ni hizohizo mpaka kieleweke mbele ya wananchi.
Viongozi mbalimbali, wasomi na watu wengine wa kada mbalimbali kwenye jamii wataitwa kwa interviews.
Sisi Tanzania kuna kitu kimeharibika ndani ya miaka 20 ilopita na tunapaswa kujitafakari na kujifunza uzalendo na kulinda maslahi ya taifa.
Wewe hujaiva chochote ktk masuala ya intelligegence na ndio maana umeandika kitu cha ajabu kwamba TISS ya zamani ilikuwa ina uwezo mkubwa bila kuweka ushahidi tulinganishe, ukaleta stori za hisia ktk mfano wako hapo chiniTatizo lenu mna uwezo mdogo mno wa kufikiria ,unajuaje Kama na mimi nimeiva ktk masuala ya intelligence?
Halafu ni wapi nimetukana zaidi ya kushauri?
TISS haiko imara ,ni kichaka cha CCM kufanya upumbavu wao.
Tungekuwa na TISS imara, hata uchumi ungekuwa imara, kwa sababu kazi za Taasisi Kama TISS ni kuhujumu mataifa mengine kwa maslahi ya nchi na siyo kuhujumu vyama vya siasa.
Ningeandika mazito ila namwonea huruma Melo watamtesa bure, hapa mbona nimeshauri tu, nikiweka nondo nzito hadi ikulu watapoteana.
Wewe kula ukalale huna unalojua, Tuachie sisi wanaume tuikosoe serikali.
Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini.
Ni kweli mimi hakuna ninalolijua kuhusu TISS sababu mimi sio mtumishi wa idara hiyo.Wewe kula ukalale huna unalojua
Kwa akili hizi Mali zetu nyingi zitaendelea kukamatwa huko duniani!!Sasa wakimpata mleta mada ndo itarudisha ndege yetu?
Acheni nidhamu za uwoga uwoga nyinyi, uwoga uwoga kama huu ndo unapelekea Trump kutuita Shithole countries
Kwa akili hizi Mali zetu nyingi zitaendelea kukamatwa huko duniani!!
Wana "uchu wa madaraka" Manyang'au hawa mpaka wamekuwa vipofu hawaoni mbele!!!Kama wasipolipa madeni ya watu zitakamatwa sana!
Unanunua wapinzani ili waachie majimbo yao kisha Unarudia chaguzi kwa gharama za mabilioni badala ya kutumia hizo pesa kulipa madeni matokeo yake unakuja kulaumu watu eti hawana uzalendo, uzalendo gani huo wa kiuwendawazimu?
Kabisa kabisa uko sahihi !!!!!Watumishi wa Idara hii wanatakiwa wawe wafia nchi (wazalendo kweli kweli) siyo wafia CCM au CHADEMA.
CCM itakufa, CHADEMA itakufa, lakiniTanzania ipo tu!
Wako vizuri kulinda maslahi ya ccm ili itawale vizuriUbarikiwe sana kuna mambo mengine inabidi ukae kimya tu siku ziende, kwa kuwaibia sasa hivi vijana wako vizuri mno tofouti na miaka ya nyuma.