Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Tuliandika humu kuwa anachokitafuta atakipata, bora ya Dr. Musukuma kuliko huyo Kimeo
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Ukiwa CHADEMA huwa akili zinapotea kwanza? Kichwa cha habari kinasema Rombo ila habari inaongelea Vunjo...!! Rombo na Vunjo ni sehemu mbili tofauti kabisa. Mkuu jitahidi uwe unapata milo mitatu kwa siku.. inasaidia sana kwenye afya ya akili.
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .

Kwa Sasa kufanya mikutano sio lelemama. Ni CHADEMA tu ndio wameweza.
 
Mleta mada ana wenge kama vile yupo Mombasa. Vunjo na Rombo wapi na wapi!???
Mbunge wa Rombo ni Prof. ADOLF MKENDA. Dr. Kimei ni Mbunge wa jimbo la Vunjo huko Moshi vijijini.
 
Nimeshangaa kwa nini Rais alilazimika kuwateua watu kuwa Wabunge ili awape uwaziri wakati vichwa kama Kimeo vipo. Au labda vetting imegoma....atakuwa na chembe chembe za ki Chadema au huenda alipokuwa CRDB alikwapua mzigo
Kimei ni kimeo. Mkabila sana mzee yule...
Aliifanya CRDB kuwa 'One Tribe Commerial Bank (OTCB)'.
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Rekebisha; Vunjo Haipo Rombo.

Rombo Ni Wilaya inayojitegemea katika Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro.

Vunjo Inapatikana Wilaya ya Moshi Vijijini, na Ofisi ya Mbunge wa Vunjo inapatikana Mji mdogo wa Himo.
 
Akileta picha za mkutano wa Vunjo naacha kabisa kushiriki JF.Ujinga wa mleta mada asiyejua kutofautisha hata Vunjo na Rombo ndio utufanye tuamini.Mkutano wa Vunjo umefanyika wapi?Njiapanda, Himo mjini,Marangu Mtoni,Makuyuni au wapi?
Vunjo kidogo Mbatia alikuwa analeta upinzani.Chadema hapa ni chama cha 4.Baada ya CCM ,NCCR mageuzi na TLP.Haina mvuto kabisa hapa Vunjo.
 
Rombo na Vunjo ni majmbo mawili tofauti! Kimei anahusikanaaje Rombo! Uongo huwa hauwezi kujisitri! Mtoa mada aombe radhi kwa uzushi!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimeshangaa kwa nini Rais alilazimika kuwateua watu kuwa Wabunge ili awape uwaziri wakati vichwa kama Kimeo vipo. Au labda vetting imegoma....atakuwa na chembe chembe za ki Chadema au huenda alipokuwa CRDB alikwapua mzigo
Au alimyima jiwe hela kama Manji
 
Kuna nyuzi umu zinachekesha sana, proof hamna...no pics wala video. Hahahahahahaha.

Uko juu kuna watu wameomba picha. Hapa ni porojo tu picha utazipata cinema.
 
MNAOMFIKIA KIMEI AS CLOSE FRIENDS MLIO HUMU JF, MFIKISHIE UJUMBE HUU
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Kaama hata wapiga picha hawakufika basi huyo ifakara
 
Back
Top Bottom